Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Huyu mama nahisi ana mental disorder, aondolewe kwny utumishi wa umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama nahisi ana mental disorder, aondolewe kwny utumishi wa umma.
Inaruhusiwa nini?Kisheria inaruhusiwa
You are completely Wrong and out of point.Inaruhusiwa nini?
Jinai unashtakiwa na Jamhuri, sio mtu binafsi.
Mtu binafsi anaruhusiwa kufungua criminal case as per section 128 (2) and (4) of the Criminal Procedure Act.sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Hivi huyu Fatuma Kigondo ana cheo gani?, mbona ni kama wanamgwaya gwaya?Ulaya hakunaga kufichaficha🐼
Bwashee kuna Vyeo vingine vimejificha 😂😂Hivi huyu Fatuma Kigondo ana cheo gani?, mbona ni kama wanamgwaya gwaya?
I see, naona wanamuogopa sana.Bwashee kuna Vyeo vingine vimejificha 😂😂
Unadhani wale wabakaji walitumwa au waliamrishwa? 🐼I see, naona wanamuogopa sana.
Basi sawa. Acha tu aliowatuma wawajibike, inaonekana yeye ni untouchable.
Fake document!sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Huwezi kuamrishwa kufanya kitendo kama kile, hata kama ni kwny uwanja wa vita.Unadhani wale wabakaji walitumwa au waliamrishwa? 🐼
Unajua namna Kombe alivyouawa?Huwezi kuamrishwa kufanya kitendo kama kile, hata kama ni kwny uwanja wa vita.
Kizimkazi mwenyewe mtihani.Hakuna aliye juu ya SHERIA labda Kizimkazi.
Kwanini chadema huwa mnapenda kuchafua watu mnahakika kama ndo huyo?
Naambiwa hilo jimama na theopista wapo group moja na wengine wengi wengi...jimama linaleta ubabe kwenye ndoa mme kaona isiwe kesi aende kupoza mashine limeona wivu linaenda kutesa binti wa watu.
jimama ukiwa kwenye ndoa hata kama uwe na nini mume lazima umheshimu na umbinukie azamishe yote