Tusingewafahamu akina K-Lynn, Wema Sepetu, Faraja Nyarandu, Happyness Magese n.k isingekuwa huyu Mzee na miss Tanzania yake.
Tunamuombea marehemu apumzike kwa amani
Mbele yetu, nyuma yake ππ
Kuna kipindi waislamu walisema akifa hawata enda kumzika kisa mambo ya umiss enzi ZILE.Rip japo binadamu hatuja kamilika, ila ali yaheshimisha mashindano kwa wakati wake.
Hakika MjukuuKweli kabisa.
Faraja Kotta
Hilo la Nyalandu lilikuja baadaye.
Lakini huyu hata kama alikuwa mhuni, lakini hajawahi kuonesha hadharani uhuni wake!Hivi kumbe hakufaga huyu muhuni wa zamani?
Safari njema babu π₯
Social networks si ndiyo imevamiwa na wadada na watu washamba...Hakika Mjukuu
Miaka ile hakuna social networks kama ilivyo sasa, kwahiyo ili mrembo akutane na Wadosi ilimlazimu awe na pocket money ya kwenda kunywa Wine Sea Viewe, Kilimanjaro Hotel n.k
Siku hizi Wadosi Wana pick from the distance π
Bora tumezeeka sasa π€
Naona hutaki amani na sisi Babu zenu Mjukuu π€Hivi kumbe hakufaga huyu muhuni wa zamani?
Safari njema babu π₯
Kwa kweli, na utofauti wa mabinti wa miaka ile ya 2000 mwanzoni walikuwa wajanja kutumia fursaSocial networks si ndiyo imevamiwa na wadada na watu washamba...
Amini bado kuna watu wanaishi na hawaoneshi mambo yao kwenye social networks
Ova
Kabisa,hawa wa sasa wamejaa ushamba tuKwa kweli, na utofauti wa mabinti wa miaka ile ya 2000 mwanzoni walikuwa wajanja kutumia fursa
Wengi walitumia vizuri connections walizopata Kwa kudanga hivyo wengi walitoboa maisha
Mbona unamtetea mzee mwenzako? πΉLakini huyu hata kama alikuwa mhuni, lakini hajawahi kuonesha hadharani uhuni wake!
Ova
Kina babu mlikuwa mnajisosomola warembo naona mlikuwa mnagawana kila Faraja πΉNaona hutaki amani na sisi Babu zenu Mjukuu π€
π umenipiga naona asanteeeMbona unamtetea mzee mwenzako? πΉ
Vipi kwema? Au na wewe alikuwa anakupatia wa kukuliwaza enzi zenu π€£
Hawa wasasa wamezidi kuwa wa hovyoKabisa,hawa wa sasa wamejaa ushamba tu
Ova
Kwahiyo babu wa ss hivi hatujui kudanga? πΉπΉπΉKwa kweli, na utofauti wa mabinti wa miaka ile ya 2000 mwanzoni walikuwa wajanja kutumia fursa
Wengi walitumia vizuri connections walizopata Kwa kudanga hivyo wengi walitoboa maisha
Hahaha.........Mimi nilikuwa Sina mambo mengi Mjukuu, nilikuwa nimetulia na Bibi yenu tu π€Kina babu mlikuwa mnajisosomola warembo naona mlikuwa mnagawana kila Faraja πΉ