TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

View attachment 3309148

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.

Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.

Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.

Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
Dah!!
Kweli safari hii wote tutaiendea...
Duh..

Mwamba alikuwa hashikiki huyuu!!
 
View attachment 3309148

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.

Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.

Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.

Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.

Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu...
 
View attachment 3309148

Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.

Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.

Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.

Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
Aah Lundenga amewafaidi wale mabinti mno! Nakumbuka pale Keinyama nini, You Know 😂
 
Mimi nipo primary, mpaka namaliza chuo jamaa alikua kashikilia hicho kitengo yeye na mtu anaitwa Chipungahelo. At some point ghafla niliwahi msindikiza rafiki yangu kufanya delivery ya ishu fulani kwenye kambi yao Bagamoyo.

Jinsi walivyovaa na walidai wanashinda hivyo hivyo hata ningekua mimi kuna siku ningemkamua mtu. Walikua busy kumuita Uncle
 
Anawala kwa kigezo kipi ? Yeye ndio jaji au wanakuwa hawana ada ya kuingilia mashindanoni ?

Na kama alikula wengi, na mshindi huwa ni mmoja tu, hao ambao ngono wamemlipa na hawakutangazwa washindi, hakuna miaka yote hiyo waliodai No Reforms No Mashindano ?? Yani alipeta tu kuwalala bure ?
Mr. Connector
 
Hawa wazee ndio walileta misemo ya Laki si Pesa. Bata kila mahali enzi za kina Wema na kina Sinta mama ya J nature
Enzi za sinta nafikiri ungewasemea kina ntuyabaliwe, Angel damas, faraja kota, happiness magesse, Irene kiwia (huyu dada nlikuwa namuona mrembo) kushuka huko
 
Back
Top Bottom