TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

Kama kuna moto huyu anaenda kuoga maana yeye na yule Makengeza Makoye walijiona ufahari sana kumiliki MAKU. Huyu kabla ya kifo katahabika sana mpaka akaomba msamaha kwa mkewe akahamia Kibaha kutoka Kimara. Kifupi alimtesa sana mkewe.
Haina hata uhusiano
 
Ntachomkumbuka Sana ni magazeti ya udaku enzi izo za 2010 utasikia kidogo Yuko gazeti la ijumaa na kidogo amejaa gazeti la risasi
Walikula Sana hela zetu global publishers.
Apumzike Kwa amani Lundenga
 
Kuna kipindi alipigwa picha akiwa anapiga vitu, dini yake wakamwijia juu eti hairusiwi kunywa bia,

Tulikupenda lakini MUNGU kakupenda zaidi pumzika Kwa amani
 
Faraja alikuwa mtamu 🍌😂
IMG_20250419_233021.jpg

​
Aah! Marehemu aliwatindua sana wale warembo, hadi RayC yupo kwenye list! You Know 😂
 
Apumzike salama Mzee Lundenga

Kupitia miss Tanzania yake, ndipo magari maarufu ya Rav4 yalipojizolea umaarufu pia

Utasikia mrembo anakwambia naomba uninunulie Toyota Rav4 Miss Tanzania 🤗

Kweli wakati si milele
Wakina liumba wakawa wanazigawa tuu,,kwa kuchagua number za mamis
 
Back
Top Bottom