Mrejesho: Ahsante JF nimepata mwenza

Mrejesho: Ahsante JF nimepata mwenza

Ilkham

Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
16
Reaction score
11
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale,

Nashukuru nilileta uzi wa kutafuta mume,Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji, wengine sikuvutiwa nao, wengine hawakunivutiwa na mimi.

Ila Nashukuru nilibahatika kumpata kijana mmoja sijui nimuelezee vipi ila jamani kuna watu huku wanajielewa wanajua nini wanataka licha ya kumwambia mapungufu yangu lakini amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahidi kumpenda na kumheshimu.

Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo ya kibinaadamu yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhimu uvumilivu tu.

Nitarudi tena kwa mrejesho mwingine, Inshaallah.
 
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale

Nashkr nilileta Uzi wa kutafuta mume,Aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji,wengine sikuvutiwa nao,wengine hawakunivutiwana mm

Ila Nashkr nilibahatik kumpata kijana mmoja cjui nimuelezee vipi Ila jamn kuna watu huku wanajielewa wanajua nn wanataka licha ya kumwambia mapunguf yangu lkn amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahid kumpenda na kumheshim
Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo yakibinaadam yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhim uvumilivu tu

Nitarud tena kwa mrejesho mwingine,Inshaallah.[emoji4]
heee sasa mbona kama unatuambia una kasoro kubwa nn taabu
 
Itapendeza zaidi siku ukinasa mimba utupe mrejesho maana jamii forum itakua imekaribia kupata mjukuu
 
Nafurahi sana kusikia mmepatana. Muwe na nia njema kwa mahusiano yenu.
 
Mh usije tu ukawa umeingia cha kiume,maana kuna mtu humu namfahamu ndio xake hizo. Anakuja kwa gia ya ndoa kifuatacho utajuta kumfahamu.
 
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale

Nashkr nilileta Uzi wa kutafuta mume,Aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji,wengine sikuvutiwa nao,wengine hawakunivutiwana mm

Ila Nashkr nilibahatik kumpata kijana mmoja cjui nimuelezee vipi Ila jamn kuna watu huku wanajielewa wanajua nn wanataka licha ya kumwambia mapunguf yangu lkn amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahid kumpenda na kumheshim
Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo yakibinaadam yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhim uvumilivu tu

Nitarud tena kwa mrejesho mwingine,Inshaallah.[emoji4]
amekugegeda mara ngapi mpaka umpambe hivyo... How long can he stay on the Peak...
 
Back
Top Bottom