Ilkham
Member
- Jul 16, 2017
- 16
- 11
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale,
Nashukuru nilileta uzi wa kutafuta mume,Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji, wengine sikuvutiwa nao, wengine hawakunivutiwa na mimi.
Ila Nashukuru nilibahatika kumpata kijana mmoja sijui nimuelezee vipi ila jamani kuna watu huku wanajielewa wanajua nini wanataka licha ya kumwambia mapungufu yangu lakini amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahidi kumpenda na kumheshimu.
Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo ya kibinaadamu yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhimu uvumilivu tu.
Nitarudi tena kwa mrejesho mwingine, Inshaallah.