Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

Umefika Moshi hujanywa mbege? Hasara kabisa
IMG_20210106_181502.jpg

Kwenye kibanda kimoja huko Kibosho bei 500
 
Kwanza pongezi kwa JPM na pole kwa wanaobeza juhudi zake. Ila jamaa anapambana sana, anakosolewa sana kaskazini lakini kawapunguzia sana shida.
aliekuambia kaskazini wana shida ya usafiri ni nani mpaka umpongeze huyo jamaa
 
Kila sehemu na mazuri yake na mabaya pia. 2019 angalichungulia darini huko kibosho akaona hayo mafuvu si angalikuwa na story ingine? Sie wagogo tunaweza kuwa na yetu mazuri pamoja na madhambi ya tembele!!!
[emoji3][emoji3][emoji3], uwezo wa kuchungulia darini hana labda kama hajipendi
 
Sema kuna kitu nilishangaa luambo makiadi na Dilek mbona hakuna viwanja vya kununua? Niliuza kila sehemu lakini sikupata eneo linalouzwa afu nikaambiwa huko migombani bei ni kubwa sana kuliko hata maeneo mengine ya Dar ni kweli?
 
Sina uelewa mzuri kuhusu viwanja. Ila nadhani wachaga wanathamini sana ardhi yao hasa wa vijijini, watarithishana au kuuziana wao kwa wao lkn sio wewe ulietoka Chato.
 
Hayo mambo yapo kwa makabila mengi. Ila uzuri wa mandhari vijiji vya Moshi huwezi linganisha na mikoa mingine. Ni ukweli usiopingika
Tatizo kubwa tunapenda kugeneralise, si wote humu nyumbani ni bora vijijini au hata mijini. Asilimia kubwa hapa wanaotamba wanatambia za majirani pengine hata wewe mrembo
 
Tatizo kubwa tunapenda kugeneralise, si wote humu nyumbani ni bora vijijini au hata mijini. Asilimia kubwa hapa wanaotamba wanatambia za majirani pengine hata wewe mrembo
Tunachoangalia ni uzuri wa eneo haijalishi ni nani amesababisha uzuri wa muonekano huo..inaweza ikawa ni jirani yangu.
Binafsi kwetu ni Kibosho na nyumba ya babu yangu sio ya kisasa, pia sio ya udongo lakini madhari ya huko ni balaa. Hata ukitembelea nyumba ya udongo utavutiwa tu.
Kwanza lami hadi nyumbani, mireji ya maji na mito, miti na migomba, mbege, nyama. Kiufupi ni paradise ndogo.
Huko marangu kwa mzee Mengi ni balaa na nusu...
 
Back
Top Bottom