Ripoti ya serikali inatuonyesha 90% ya watu wa killinanjaro wanaishi maisha bora
Hii ni ripoti ya kitaalamu ya nbs
Tembea Tanzania nzima,Hakuna vijiji unaweza fananisha na UCHAGANI View attachment 1676057
Kumbe Geita ni maskini kiasi hiki? Sasa why tunapinga mambo mazuri kupelekwa Chato? [emoji23][emoji23]
Ila umaskini wa Geita ni wa kujitakia kabisa, dhahabu kibao ...nadhani ni ushamba wa watu wa huko.
Ni kweli kabisa ardhi ya UCHAGANI huwez kuinunua Ina bei kubwa,kiuchumi ukiona sehemu ardhi Ina bei kubwa ujue kuwa sehemu hiyo ilishaendelea tangu zamani
Alafu mipango miji UCHAGANI ipo vijijin ,yaani nyumba vijijin zimepanguliwa utadhani ulaya
Hii , nakubaliana nalo 100% kuna mtu nilimuuliza kwanini huku Moshi hata kama nyumba imejengwa mtoni kuna njia kubwa ya kuputa gari? Akaniambia " njia hainyimwi mtu" yan hata ujenge wap unapata njia na sio uchochoro (njia ya gari)