Mrejesho baada ya kuagiza Gari toka Japan

Boss hiyo 12,500,000 ushalipa ushuru au bado?
 
Mkuu, hivi hizi grade za magari hua tunaziangaliaje.., au hua haijalishi.. unakuta sijui grade U mara grade F, zinanichanganya.
Mara nyingi wanaoenda mnadani huko Japan ndiko kunakuwa na grade Kwa mfano hawa dealers wa Magari kama be forward, SBT na wengine hawa ndiyo wananunua Magari Kwa njia ya grade kabla hawaja-upload Kwenye site zao pia ukiona Kwenye site wameandika GRADE 4 basi hiyo gari bado mbichi Sana na hata bei yake inakuwa IPO juu
 
Thanks mkuu.. i thought they are for us to analyse
 
Mkuu, hivi hizi grade za magari hua tunaziangaliaje.., au hua haijalishi.. unakuta sijui grade U mara grade F, zinanichanganya.

Kwenye minada kuna grade za gari
1. Grade 5 hii inakua mpya yani imenyooka htr
2. Grade 4-4.5 hii inakua ni quality ipo vzr sana
3. Grade 3-3.5 inakua kawaida
Me najua hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…