PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hivi hawa wendawazimu waliishia wapi? Bado wanafanya inspection au ilikuwa magumashi ya kipindi kileTBS vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa wendawazimu waliishia wapi? Bado wanafanya inspection au ilikuwa magumashi ya kipindi kileTBS vipi?
Man calm down tusije kuokota miili ya watu kama pale baaniWabongo wagese sana kwenye biashara lkn nlichokiongea apo juu ndo ninachomaanisha maisha yenyewe yamejaa ufala mtupu acha tutangulizane mbele
Man calm down tusije kuokota miili ya watu kama pale baani
Mkuu inspection ipo na bila hiyo gari haitoki bandarini paleHivi hawa wendawazimu waliishia wapi? Bado wanafanya inspection au ilikuwa magumashi ya kipindi kile
Boss hiyo 12,500,000 ushalipa ushuru au bado?Mkuu yako kali sana dah...Sbt zao mechokachoka sana upo sawa mkuu..
Nimeagiza Sbt toka 9/4/21 gar imefika 13/7/21 af wamekuja kuniambia 20/7/21 af wananiambia nilipie storage sh 25000 per day kuanzia 13/7 mpk nitakapo toa kwa hili ntakwenda petrol ofisin kwao kitakachotoa kitakua mjadala humu...
Kasema tayari iko mikononi kwa hiyo Pesa.Boss hiyo 12,500,000 ushalipa ushuru au bado?
Hapo sawaKasema tayari iko mikononi kwa hiyo Pesa.
Mkuu, hivi hizi grade za magari hua tunaziangaliaje.., au hua haijalishi.. unakuta sijui grade U mara grade F, zinanichanganya.Wakuu salama?
Kwanza kabisa niwashukuru wanajukwaa hili kwa ushirikiano mzuri mlionipa kabla sijaagiza chombo....
Mara nyingi wanaoenda mnadani huko Japan ndiko kunakuwa na grade Kwa mfano hawa dealers wa Magari kama be forward, SBT na wengine hawa ndiyo wananunua Magari Kwa njia ya grade kabla hawaja-upload Kwenye site zao pia ukiona Kwenye site wameandika GRADE 4 basi hiyo gari bado mbichi Sana na hata bei yake inakuwa IPO juuMkuu, hivi hizi grade za magari hua tunaziangaliaje.., au hua haijalishi.. unakuta sijui grade U mara grade F, zinanichanganya.
Thanks mkuu.. i thought they are for us to analyseMara nyingi wanaoenda mnadani huko Japan ndiko kunakuwa na grade Kwa mfano hawa dealers wa Magari kama be forward, SBT na wengine hawa ndiyo wananunua Magari Kwa njia ya grade kabla hawaja-upload Kwenye site zao pia ukiona Kwenye site wameandika GRADE 4 basi hiyo gari bado mbichi Sana na hata bei yake inakuwa IPO juu
Boss hiyo 12,500,000 ushalipa ushuru au bado?
TBS vipi?
Unapoagiza gar unapewa valuation details mpk gar inafika bongo hiviView attachment 1861853
Hongera kwa kupata ndinga ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu.
Naomba nipatie namba ya whatsap ya huyo mjapan nahitaji RAV4 killtime.
Gari yako ikipata mchubuko unaonaje maumivu yake????
Kwa kifupi gari ukiagizia kuna Raha yake Sana sidhani Kama utaweza kununua Magari ya yard tena....ukishaonja kuagizia Tu Basi huwezi tena kutembelea yard kutafuta gari
Hivi hawa wendawazimu waliishia wapi? Bado wanafanya inspection au ilikuwa magumashi ya kipindi kile
Boss hiyo 12,500,000 ushalipa ushuru au bado?
Mkuu, hivi hizi grade za magari hua tunaziangaliaje.., au hua haijalishi.. unakuta sijui grade U mara grade F, zinanichanganya.