Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
Tax avoidance ndio inakubalika tax evasion haikubaliki mkuu anyway nakutakia kila la kheri mkuu kuwa makin sana ili hiyo gari usije ukaiona chungu huko mbeleni.Shikamoo kaka .. yani umepita mulemule kama ulikuwepo. .. Nawashukuru sana wadau wa JF mlinishauri yote haya na tumeyafanyia kazi na kuna mwanasheria asha play part yake ko kila k2 kipo sawa sema nimeshindwa kuandika yote. Shukran sana kaka. Ila janja janja za kukwepa kodi ndo hazikosagi mkuuu. hahahahahhahahaha
Shukran bossi. Ubarikiwe sana mkuuTax avoidance ndio inakubalika tax evasion haikubaliki mkuu anyway nakutakia kila la kheri mkuu kuwa makin sana ili hiyo gari usije ukaiona chungu huko mbeleni.
Kapo ofisi za TRA wilaya ya Ilala ni keusi karefu. Siku ukipita maeneo yale hebu ingia ofisin watazame vizuri staff wa mule utakaona huwa kana jifanya kapo bzebze hivi
Demu hapigwi kwa mkono wewe.....🙂🙂Hako kademu kwa hilo jibu mi ningekaweka makofi.
Kama masuala ya msingi tu kanakuletea nyodo, hiyo fimbo nyingine utatoboa kweli?Demu hapigwi kwa mkono wewe.....🙂🙂
Wanawake wenye nyodo ndo wadhaifu kupitiliza mkuu.....yaani superiority complex is a sign of inferiority complex......huyo unaenda nae polepole ku study udhaifu wake.....yaani wanabadilikaga huwezi aminiKama masuala ya msingi tu kanakuletea nyodo, hiyo fimbo nyingine utatoboa kweli?
Ulizopewa na Mumeo hazikutoshi?Unataka mimba nn mzee
Hako ka demu gani hako? Hakajui maadili ya kazi?
Nitapita hapo kukazinguaKapo ofisi za TRA wilaya ya Ilala ni keusi karefu. Siku ukipita maeneo yale hebu ingia ofisin watazame vizuri staff wa mule utakaona huwa kana jifanya kapo bzebze hivi
Mno, tena vikishapata kazi kwa kuhonga Kei ndo vinakuwa na viburi mnoAisee kangekutana na mimi ningemzingua [emoji16], hivi vidada vinaona kama ndo vimeshawin yaan.
SASA hivi ndio mwanaume unatakiwa kusimulia story.
Yaani unakua haueleweki eleweki hivo. Safi Baharia.
Kikubwa Vanguard ipo kwenye parking home.
Ila hapo mwishoni mwa story kasema walimrudishia harrierSASA hivi ndio mwanaume unatakiwa kusimulia story.
Yaani unakua haueleweki eleweki hivo. Safi Baharia.
Kikubwa Vanguard ipo kwenye parking home.
Nilishawahi kukutana na binti kama huyo lakini nikajifanya mpole, huwezi amini huyo binti nilimfanyia umafia nikaja kumtafuna kimasihara mpaka leo najitafunia tu kila nikimhitaji, yupo ofisi moja hv ya umma.Wakiwa wanaomba kazi ni wapole sana, wakishapata wanaanza ujinga.
Ashike hili umenena vema hii kitu ilimtokea puani baba yangu mzaziKama maelezo ndio yameishia hvyo. Hilo gari sio lako na hauna uhalali wa kuliuza ama kumpatia mtu mwengine yeyote na kuendelea kuwa nalo litakuletea shida.. kwa maelezo hayo hilo tatizo mmelitatua kienyeji sana Mkuu, hautambuliki ktk mamlaka yoyote kama ww ni mmiliki halali. Ulipaswa kubadili kadi ya gari kwanza na magari mengi ya miradi uwa yana exemption na ili gari ibadilishwe umiliki kwenda kwenye umiliki binafsi ni lazima ile kodi iliyokuwa exempted ilipwe na kama kulikuwa na kodi zingine kampuni inadaiwa lazima izilipe mana kwenye kufanya transer lazima itahitajika tax clearance ya kampuni.
Hahahaa duh jamaa kanimix sana... Kumbe still ana Harrier.Ila hapo mwishoni mwa story kasema walimrudishia harrier
Ilikuaje boss hebu tupe experienceAshike hili umenena vema hii kitu ilimtokea puani baba yangu mzazi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu mtu anayepokea hela kwa nini watu wasimlengeshe na takukuru.It's true brother. Na ofis yenyewe ni TRA wilaya ya Ilala pale kuna dem mrefu mweusi ana penda kuvaa earphones. Pia kuna jamaa mweupe anasifika kwa kukadiria kodi za ajabu ili kutengeneza mazingira ya rushwa (kwa mfn kodi yako ni 20000 anakukadiria 100000 ukilialia ndo anakwambia atakupunguzia ila umpe chochote ukikubari ndo anakuwekea viwango vya kawaida unamshukuru unajua kakusaidia na pesa unampa kumbe ushapigwa)
It's true brother. Na ofis yenyewe ni TRA wilaya ya Ilala pale kuna dem mrefu mweusi ana penda kuvaa earphones. Pia kuna jamaa mweupe anasifika kwa kukadiria kodi za ajabu ili kutengeneza mazingira ya rushwa (kwa mfn kodi yako ni 20000 anakukadiria 100000 ukilialia ndo anakwambia atakupunguzia ila umpe chochote ukikubari ndo anakuwekea viwango vya kawaida unamshukuru unajua kakusaidia na pesa unampa kumbe ushapigwa)
Sasa kama wanajua kwanini wasidhibiti hiyo hali??Muddy alinikutanisha na mkuu wa idala flan ivi yule mkuu ndo akatutambulisha kwa yule jamaa kama wadogo zake ko jamaa akalibeba kama lake. Ni usalama wa taifa mzee . Wale jamaa huwa wanajua kila k2 kinachoendelea hapa bongo ( salute kwao)