Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

sitoenda kulala kwa mwanamke asilani, nishazisafiria sana ila upuuzi ulioufanya mkuu usije rudia hasa utakapopata mialiko mingine mikoa ya pwani au pale jirani, utageuzwa mboga
 
...Muda wa SAA 4:30 usiku nilifika stendi kuu ya mabasi Ubungo...... Baada ya nusu SAA tulifika kwake (kama mlitumia dk 30 kufika kwake kutokea UBT, kwa mida hiyo barabara za DSM huwa tupu... huyo singomaza atakuwa anaishi Kibiti!)........Muda mchache akaingia jikoni akapika baada ya muda akawa ameleta chakula (huyu singomaza anapika baada ya Mgeni kufika... atakuwa kakupikia daku daku0)

Kwa maisha ya usasa, tena Dsm, kama sio chai basi huyo singomaza ana moyo wa Masia! Anampokea ambae hawajawahi kumeet, anamlaza home kwake pasi na tahadhari yoyote!
bwanaweeee....hizi ni burudani. tufurahie mwenzetu kapata. ukitaka kufatilia itakuwa hii ni 'hadithi'
 
Binadamu akiishakuwa mjinga anadhani na wengine ni wajinga pia. Mtu mmekutana hapa JF anasoma story zako humu tangu unaenda kwake mpaka umetoka kwake, atakubali kweli kukuvulia nguo zake za ndani? Si anakuona hamnazo?
au wote hamnazo!!
 
kweli we wa mikoani...yaani ulilala na nguo zilezile ulizosafiri nazo? i hope na viatu pia...........
 
Ukituma picha ya huyo binti kashika kikaratasi kimeandikwa Da'Vinci nakupa elfu hamsini.

Wanaume wa mikoani mnapenda kuonekana vitombi kumbe hamna lolote shwain

Tukienda mikoani tunawagongea mademu zao vizuri ...wao ndiyo wanakuwa makuwadi kisa tunawapa pombe
 
Wanaume wa Dar tupo Vzr mnooo. Tunaijua kazi Vzr mnoo ndo maana tunakimbiwa
 
Wanaume wa mikoani imefika wakati tunahitaji tupate bendera nzuri ya kututambulisha ioneshe uchapakazi wetu,vyakula vyetu,tamaduni zetu na nk ili hata zifungwe kwenye mgari kama RC zvungwe kwenye bajaj,maroli,boda boda,baiskeli ili hata mwizi akikuta bendera anajua kuna kazi pevu tunahitaji tupate vipeperushi na business card
 
Chai yako ya vitumbua teh teh
Mwenyekiti wenu wa ukoo Magufuli alishasema atakayebaki Dar ndiyo mwanaume wanawake wote mkakimbilia mikoani na Zenji.
Ungebaki ungekua mke wa mtu sasa hivi na watoto wanne
 
Back
Top Bottom