Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kweli kama kayapata hayo yote atulizane tu kwa kweli.Bora umempa ushauri wa hekima na busara Hajar, maana alivyonogewa mpaka katuletea na sisi habari ili tujue alivyofaidi🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kweli kama kayapata hayo yote atulizane tu kwa kweli.Bora umempa ushauri wa hekima na busara Hajar, maana alivyonogewa mpaka katuletea na sisi habari ili tujue alivyofaidi🙁
Sis wanaume wa mkoani wanaume kazi. No jokes yaani. WanaelewaWanaume wa dar muone sasa. Wanaume hamna dar hadi wanawake wanachukua wanaume mikoani.
Mimi pia nilikuwa nawaza kama wewe... Dah! wanaume wa mikoani kumbe tuna potential kubwa, wacha nifie kwenye zoezi.Nilivyoona mrejesho tu nikajua lazima umekuta usiyoyategemea.
Haya ujitahidi kumuelewa sasa Mkuu ili usije tia kitumbua mchanga.
Hahahaaaa. Duuh.Mimi pia nilikuwa nawaza kama wewe... Dah! wanaume wa mikoani kumbe tuna potential kubwa, wacha nifie kwenye zoezi.
Wanaume wa dar wacha waendelee kula mahindi ya kuchoma yaliyopakwa ndimu na iliki....[emoji38] [emoji38] [emoji38]hadiii hapoo sina la kusema umetuwakilisha vyema wanaume wa mkoani inabidi siku ukifuata mwingine Kigoma nitaarifu nikuandaliee mihogo na mafuta ya mawese kwa ajili ya kazi kakaa