Mrejesho: Baada ya Safari ya Dar kukutana na asiyejulikana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]comments sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiiiii
 
Mapenzi ya siku hizi ni kama ya tamthilia ya filamu za Bongo movie.

Vv
 
Hiyo bahati ni kumi kwa mmoja uwanaoipata. Mtandao gn huo??
 
Hongera Ile kuwa makini sana, mwanzoni mapenzi matamu ila mbeleni huko mambo huwa magumu sana. Hasa baba mtoto atakapoanza kudai kumwona mtoto, au akitaka kupasha kiporo, uwe mvumilivu.
 
Nilivyoona mrejesho tu nikajua lazima umekuta usiyoyategemea.

Haya ujitahidi kumuelewa sasa Mkuu ili usije tia kitumbua mchanga.
Bora umempa ushauri wa hekima na busara Hajar, maana alivyonogewa mpaka katuletea na sisi habari ili tujue alivyofaidiπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…