Mrejesho bado hitaji langu la kutafuta mke halijatimia

Mrejesho bado hitaji langu la kutafuta mke halijatimia

maseyu

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
39
Reaction score
64
Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao mlini-pm na tukaweza kuongea.

Kama nilivyosema juzi mimi ni baba wa watoto wawili ambao nawapenda sana sana na sipo tayari kuona wanateseka hivyo naitaji mke ambae angalau nae ana mtoto ili tuweze kuwalea kwa ujumla wote.

Narudia tena sifa za mke nimtakae

Awe mkristu
Awe na mtoto au watoto
Elimu ya chuo kikuu
Asiwe mweusi wala mweupe wa kujichumbua (nataka weupe wa kuzaliwa)
Mcha Mungu
Mwenye nidhamu
Anaejiheshimu
Asiwe mpare
Napenda sana umbo la kati asiwe mnene wala mwembamba
Awe na kazi au amejiajiri
Mwenye hipsi.

Kwa yule tu ambae yupo serious ndo anipm


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama upo serious kweli mpunguza vigezo na masharti sio rahisi ukapata mwenye vigezo vyote hivyo.
 
sasa baba wawili,unaonaje uki sambaza thread yako sehemu mbalimbali kama fb,insta,sykp,tango,wyn,pengne yupo huko??
 
Wapare ndio wenye hips, bahati mbaya umesema huwahitaji ..
 
Kwayho shida yako ni mwanamke waku walea watoto wako au mwanamke mwenye HIPSI?? maana ume pakomalia kwelikweli.hahaha wanaume mna mambo nyie kha!!!
 
Sipati picha wewe ulivyo maana sio kwa vigezo hivyo
 
Hivi wapo wanaopata wake/waume kwa njia hii?? 🙄
 
Back
Top Bottom