Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao mlini-pm na tukaweza kuongea.
Kama nilivyosema juzi mimi ni baba wa watoto wawili ambao nawapenda sana sana na sipo tayari kuona wanateseka hivyo naitaji mke ambae angalau nae ana mtoto ili tuweze kuwalea kwa ujumla wote.
Narudia tena sifa za mke nimtakae
Awe mkristu
Awe na mtoto au watoto
Elimu ya chuo kikuu
Asiwe mweusi wala mweupe wa kujichumbua (nataka weupe wa kuzaliwa)
Mcha Mungu
Mwenye nidhamu
Anaejiheshimu
Asiwe mpare
Napenda sana umbo la kati asiwe mnene wala mwembamba
Awe na kazi au amejiajiri
Mwenye hipsi.
Kwa yule tu ambae yupo serious ndo anipm
Sent using Jamii Forums mobile app