Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika!
Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa
Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha wanyonge!
Kuruhusu watu kupita haitazuia Uzinduzi kufanyika endapo kuna ulazima huo!
Pia, soma: Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika.