Unafikiri Nani anaamini maneno matupu...?Jf aliyewaroga sijui nani.
Mnapenda picha sijapata kuona
Akumbuke mdharau kwao mtumwa, sio awatelekeze wazazi ni wajibu wake kuwajali na kuwatunza[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] teh teh ndo ukubwa huo dadekii
ukubwa sio kuvaa mlegezoo
Dully tuko nae Tabata tangu 2009, ila inasemwa ni Nyumba ya mama yake, ingawa mimi nilijua yake.DaJane said:Usimsahau na Dully Sykes
Nimekubali pozi lakoWanaume wa Dar katika ubora wao.
wewe umejenga kwenu??Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf
Ungesherehesha Na kapicha....!
Mziki unahela pale unapoingia Pesa nyingi ziko mwisho hutozifiakia" Joh MakiniMi ndio maana wakati mwingine siamini kama mziki una hela
Kinyulinyuli ana nyumba kubwa na bar chamwino na mke ambaye alikuwa demu wake kitaaambo... Belle ndo anazingua hat a hapo wazaz wake wanapokaa siyo kwaoJaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf
Belle nmpuuz celebrate kama yy Dingi bado mlinzi na mama mfagizi tumbaku!!!!!!!..upuuziJaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf