Mrejesho: Belle 9 Hii Ni Aibu

Mrejesho: Belle 9 Hii Ni Aibu

sasa huyo samir kinyulinyuli mbona tayari umeshamgemea kilichobak ni kulinywa tu, hahaha ama kwl usicheze na JF
 
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf
wewe umejenga kwenu??
 
Ungesherehesha Na kapicha....!
sand-jpg.336520
 
Attachments

  • sand.jpg
    sand.jpg
    7.3 KB · Views: 190
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf
Kinyulinyuli ana nyumba kubwa na bar chamwino na mke ambaye alikuwa demu wake kitaaambo... Belle ndo anazingua hat a hapo wazaz wake wanapokaa siyo kwao
 
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa Humu Hata Celebrity Wapo!! Hata Uncle Magu Yupo Humu! Belle 9 Hongera Kwa Kuelewa Umuhimu Wa Wazaz Na Maneno Yalikuchoma! Sasa Mshauri Mdogo Wako Samir Kinyulinyuli! Akajenge Kwao La Sivyo Nae Tutamuanika. Thanx Jf
Belle nmpuuz celebrate kama yy Dingi bado mlinzi na mama mfagizi tumbaku!!!!!!!..upuuzi
 
Back
Top Bottom