Mrejesho: Biashara gani ya kuingiza faida zaidi ya milioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Hello again, business personels

Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.

Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango yao pia kwa hii thread ulisaidia na wengine kwa kiasi kikubwa. Pia niwashukuru waliokuja inbox kwa ajili ya kunipa info zaidi na ushauri zaidi.

Pia kupitia hii thread nimefahamiana na watu ambao wengine ni business moguls ambao wamo humu humu Jamii Forums.

Lets use this forum wisely, you can gain much more than you think.

Mawazo, ushauri, yalikuwa mengi, ila nimeamua kuchukua ideas kama mbili hivi moja hii hapa kutoka kwa MDAU mmoja, nakushukuru sana, pia nitajaribu kuchekiana na wewe kwa ajili ya kupeana A,B,C's.

"Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).

Korosho by next year and years to come zitakuwa balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.

Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say)."

Idea ya 2: Ni SPORTS BETTING....nayo pia nilipata mawazo mazuri sana kutoka kwa mdau mmoja, nakushukuru sana, nawe pia tutakua pamoja katika kuijenga.

SOON NITAENDELEA KULETA PART 3 YA BIASHARA KUANZA NA OPERATIONS..UNTIL THEN..GOOD DAY!
 
Mkuu Kiwanda cha Korosho Usithubutu kufanya hicho kitu utakuja kulia. Tafuta mradi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…