BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #61
Sikuwepo. Thread ya kwanza kuhusu hili nilitoa mnamo Septemba 2019.Tuanzie hapa kwenye hichi kikao ulikuwepo View attachment 1463819
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwepo. Thread ya kwanza kuhusu hili nilitoa mnamo Septemba 2019.Tuanzie hapa kwenye hichi kikao ulikuwepo View attachment 1463819
Sio mzuri sanaa wakuelezea kwa maandishi ndio maana kifupi tuu nikakwambia achana na hiyo biashara, Tulishapoteza pesa na muda, kwenye jambo lolote linakuwa na matamko ya kisiasa achana nalo, ndio maana kwa sasa Korosho, Pamba, Ufuta na n.k vyote vimesimama sababu tuu ni matamko ya Kisiasa leo litatoka tamko hili kesho lile yote hayo yanakuadhiri kwenye utendaji wako.Sikuwepo. Thread ya kwanza kuhusu hili nilitoa mnamo Septemba 2019.
sawa mkuu asanteSio mzuri sanaa wakuelezea kwa maandishi ndio maana kifupi tuu nikakwambia achana na hiyo biashara, Tulishapoteza pesa na muda, kwenye jambo lolote linakuwa na matamko ya kisiasa achana nalo, ndio maana kwa sasa Korosho, Pamba, Ufuta na n.k vyote vimesimama sababu tuu ni matamko ya Kisiasa leo litatoka tamko hili kesho lile yote hayo yanakuadhiri kwenye utendaji wako.
Kuna mdau alikuwa anasema kuna wanunuzi anao wako India kwa kuanzia jaribu kufuatilia jinsi ya kununua na kuuza nnje halafu uje na mrejesho.
[emoji120]Kila la heri le billionaire!utukumbuke kwa ajira ukifanikiwa!