Mrejesho: Biashara gani ya kuingiza faida zaidi ya milioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku?

Mrejesho: Biashara gani ya kuingiza faida zaidi ya milioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku?

mkuu nasikitika kusema ya kua hoja yako haina mashiko. Ila nikufundishe kitu kwenye maisha, kama barabara kuu imefungwa basi pita vichochoroni, kama vichochoro vimefungwa basi pita angani, kama anga limefungwa pita majini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeona wewe ni mbishi na mzito kidogo kukubali Ukweli, tuache muda uamue , labda ipo siku utarudi hapa kukiri.
 
Mkuu nimeona wewe ni mbishi na mzito kidogo kukubali Ukweli, tuache muda uamue , labda ipo siku utarudi hapa kukiri
Sio mbishi nina misimamo mikali sana
sasa unataka nikiri failure na nifuate njia yako.?! That can never happen. Ni hivyo hivyo ambavyo siwezi kukulazimisha wewe ufanye nachotaka kufanya, thats how life is.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi mkubwa wa mashine ya kukoboa mpunga kwa kiwango cha uzalizaji mkubwa (large scale).

Mambo ya kuzingatia...

1. Mradi uwe ktk eneo/ maeneo wanayolima mpunga kwa wingi. Mfano Morogoro wilaya ya Mvomero.

2. Uwe na Jengo/ ghala kubwa lenye uwezo wa kuweka kiasi kikubwa cha gunia za mpunga.

NB: Nimefanyia utafiti wa kina mradi wa aina hii kisha nikaandikia andiko mradi. Kama haitoshi nimefanikiwa kuanzisha mradi wa aina hii japo kwa kiwango cha cha chini (small-scale) kulingana na investment capital niliyokuwa nayo. Hivyo, naona kunaulinganifu wa karibu sana kati ya majibu (findings) za utafiti nilioufanya na uhalisia ninaouona.
 
Kuna jamaa anaenda MKENDO mitaa iyo sizani kama anapata faida.
 
Kuna jamaa anaenda MKENDO mitaa iyo sizani kama anapata faida
Itakuwa ni MKINDO hiyo mkuu.
Anaweza kuwa hapati hiyo, kwani pia inategemea na wingi wa wateja na aina ya mashine aliyoweka. Kwa hapo alipoweka pia nauhakika atakuwa anapiga kazi ya maana tu.
 
Narudia tena kumshauri, hiyo pesa atenge walau robo tu, awekeze kwenye FOREX! Akubali kujifunza na akubali kusoma!

Baada ya miezi kadhaa mpaka mwaka mmoja ataona matunda yake!!
Umemwelewa lakini mkuu, mwenzako anataka biashara inayoweza kuzalisha zaidi ya millioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku, sasa kwenye forex atawekeza shs ngapi ili azalishe hiyo faida?
 
Kwanini nitakuja kulia?! mkuu ukiongea unatoa hoja zilizoshiba ku defend point yako. ..karibu kwa hoja
Tuanzie hapa kwenye hichi kikao ulikuwepo
JPEG_20200530_211605_5260216165278613859.jpg
 
Hello again, business personels

Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.

Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango yao pia kwa hii thread ulisaidia na wengine kwa kiasi kikubwa. Pia niwashukuru waliokuja inbox kwa ajili ya kunipa info zaidi na ushauri zaidi.

Pia kupitia hii thread nimefahamiana na watu ambao wengine ni business moguls ambao wamo humu humu Jamii Forums.

Lets use this forum wisely, you can gain much more than you think.

Mawazo, ushauri, yalikuwa mengi, ila nimeamua kuchukua ideas kama mbili hivi moja hii hapa kutoka kwa MDAU mmoja, nakushukuru sana, pia nitajaribu kuchekiana na wewe kwa ajili ya kupeana A,B,C's.

"Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).

Korosho by next year and years to come zitakuwa balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.

Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say)."

Idea ya 2: Ni SPORTS BETTING....nayo pia nilipata mawazo mazuri sana kutoka kwa mdau mmoja, nakushukuru sana, nawe pia tutakua pamoja katika kuijenga.

SOON NITAENDELEA KULETA PART 3 YA BIASHARA KUANZA NA OPERATIONS..UNTIL THEN..GOOD DAY!
Karibu uwekeze kiongoz
 
Back
Top Bottom