Mkuu umewaza niñ hadi upotee huko? Hizo ni biashara za kulala huña uhakika wa kesho. Na serikali hii kila sikú wanalala na kuamka na mawazo mapya dhidi ya hizi biashara. Waza upya
Jenga hoja wakuu, njoo na sababu zilizoshiba , hapa hata kama umeitwa kwenye kamati ya wawekezaji na umeambiwa utoe speech kwamba kwanini wawekeze kwenye kitu fulani na sio kitu fulani , hizi ndio sababu utatoa ?? kumbuka ni watu wenye pesa zao na wanaenda na muda, kwahio kukaa na kukusikiliza wewe wanatumia muda waoKorosho ni zao la KISIASA kwa nchi yetu, kuwa makini sana
Siasa ndio inatoa mwelekeo kwa kiasi kikubwa kwenye zao hili, jaribu kupitia historia. Vinginevyo niakutakia kila la kheriJenga hoja wakuu, njoo na sababu zilizoshiba , hapa hata kama umeitwa kwenye kamati ya wawekezaji na umeambiwa utoe speech kwamba kwanini wawekeze kwenye kitu fulani na sio kitu fulani , hizi ndio sababu utatoa ?? kumbuka ni watu wenye pesa zao na wanaenda na muda, kwahio kukaa na kukusikiliza wewe wanatumia muda wao
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuh...hoja yako ni "siasa" tu duuh hayaSiasa ndio inatoa mwelekeo kwa kiasi kikubwa kwenye zao hili, jaribu kupitia historia. Vinginevyo niakutakia kila la kheri
Huwezi kukwepa Siasa vinginevyo subiria muda ni muamuzi mzuri
Mkuu ukitaka msaada kuhusu korosho na siasa zake zote nicheki hadi wanunuzi wa huko india hadi kiwanda ukitaka ntakuonesha kinachouzwa ila uwe serious tu na mpunga uwepoZote mbili ikiwezekana ila priority kubwa ni hio ya kiwanda.
Mkuu we Pambana, kila kitu kwenye inchi yetu hakikosi siasa, biashara ya mazao ni siasa, Mafuta, uwekezaji kila kitu siasa zipo cha msingi tu Kama unaamua kufungua kiwanja fanya. Cha msingi tu jitaidi kuwa neutral NA siasa za Tanzania lasivyo wanasiasa watakutumia Kama kafara yao kufanikisha siasa zako mwisho wa siku wanakuacha mataaa umefilisika balaaa.. Cha msingi kuwa neutral akili ichangamkee.Hello again, business personels
Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.
Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango yao pia kwa hii thread ulisaidia na wengine kwa kiasi kikubwa. Pia niwashukuru waliokuja inbox kwa ajili ya kunipa info zaidi na ushauri zaidi.
Pia kupitia hii thread nimefahamiana na watu ambao wengine ni business moguls ambao wamo humu humu Jamii Forums.
Lets use this forum wisely, you can gain much more than you think.
Mawazo, ushauri, yalikuwa mengi, ila nimeamua kuchukua ideas kama mbili hivi moja hii hapa kutoka kwa MDAU mmoja, nakushukuru sana, pia nitajaribu kuchekiana na wewe kwa ajili ya kupeana A,B,C's.
"Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).
Korosho by next year and years to come zitakuwa balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.
Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say)."
Idea ya 2: Ni SPORTS BETTING....nayo pia nilipata mawazo mazuri sana kutoka kwa mdau mmoja, nakushukuru sana, nawe pia tutakua pamoja katika kuijenga.
SOON NITAENDELEA KULETA PART 3 YA BIASHARA KUANZA NA OPERATIONS..UNTIL THEN..GOOD DAY!
mkuu nasikitika kusema ya kua hoja yako haina mashiko. Ila nikufundishe kitu kwenye maisha, kama barabara kuu imefungwa basi pita vichochoroni, kama vichochoro vimefungwa basi pita angani, kama anga limefungwa pita majiniHuwezi kukwepa Siasa vinginevyo subiria muda ni muamuzi mzuri
Mambo si ndio hayo!Mkuu ukitaka msaada kuhusu korosho na siasa zake zote nicheki hadi wanunuzi wa huko india hadi kiwanda ukitaka ntakuonesha kinachouzwa ila uwe serious tu na mpunga uwepo
Hello again, business personels
Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.
Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango yao pia kwa hii thread ulisaidia na wengine kwa kiasi kikubwa. Pia niwashukuru waliokuja inbox kwa ajili ya kunipa info zaidi na ushauri zaidi.
Pia kupitia hii thread nimefahamiana na watu ambao wengine ni business moguls ambao wamo humu humu Jamii Forums.
Lets use this forum wisely, you can gain much more than you think.
Mawazo, ushauri, yalikuwa mengi, ila nimeamua kuchukua ideas kama mbili hivi moja hii hapa kutoka kwa MDAU mmoja, nakushukuru sana, pia nitajaribu kuchekiana na wewe kwa ajili ya kupeana A,B,C's.
"Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).
Korosho by next year and years to come zitakuwa balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.
Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say)."
Idea ya 2: Ni SPORTS BETTING....nayo pia nilipata mawazo mazuri sana kutoka kwa mdau mmoja, nakushukuru sana, nawe pia tutakua pamoja katika kuijenga.
SOON NITAENDELEA KULETA PART 3 YA BIASHARA KUANZA NA OPERATIONS..UNTIL THEN..GOOD DAY!
sio uhuni, ni business kama business zingine halali. kua na staha kidogo.Hoja ya msingi ni kwamba ili ufaulu kwenye korosho lazima ujihusishe na siasa nyuma ya pazia.
Betting nako ni ngumu kwa kampuni changa na ili utoboe hapa kuwa karibu na 666 tofauti na hapo wateja watakugeuza mteja.
#WAZO LANGU KWAKO# kapitie maoni yangu kwako kapitie maoni ya wadàu upya utapata idèar nzuri tena zenye miguu,kiwiliwili na vichwa. Na sio huu uhuñi idear.
Binafsi nilifańya uchambuzi nikapata wazo bora sana
Angalau wewe mkuu umepambanua, akili nyingi za vijana hua hawawazi beyond, yani akikutana na kikwazo kidogo anaghairi, au anakimbia. Kua mwanaume kamili lazima ukabiliane na chochote kilicho mbele yako kufuata your purpose in life/your wishes in lifeMkuu we Pambana, kila kitu kwenye inchi yetu hakikosi siasa, biashara ya mazao ni siasa, Mafuta, uwekezaji kila kitu siasa zipo cha msingi tu Kama unaamua kufungua kiwanja fanya. Cha msingi tu jitaidi kuwa neutral NA siasa za Tanzania lasivyo wanasiasa watakutumia Kama kafara yao kufanikisha siasa zako mwisho wa siku wanakuacha mataaa umefilisika balaaa.. Cha msingi kuwa neutral akili ichangamkee.
shukrani mkuu.Mfano mzuri, Reginald Mengi, apumzikee kwa amani alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa na moja ya Tajiri mkubwa sana kwa Tanzania NA Africa alifanikiwa zaidi.
Embu mwangaliee jinsi alivyoweza kuzipiga chenga siasa za Tanzania,. Alikuwa neutral au tunasemaa master mind mzuri sana kwenye biashara. Alimudi vizuri NA amekuwa sana kibiashara na mafanikio kaza wa kaza.
Aliweza kabisa kujitenga NA siasa za Tanzania. MUNGU azidi kumlaza mahali pema peponi.
Nakushauli fungua kiwanda chako piga kazi jitenge na siasa, ukiingiza siasa utavuma sana baadae unapoteaa kabisa.
Angalau wewe mkuu umepambanua, akili nyingi za vijana hua hawawazi beyond, yani akikutana na kikwazo kidogo anaghairi, au anakimbia. Kua mwanaume kamili lazima ukabiliane na chochote kilicho mbele yako kufuata your purpose in life/your wishes in life
Sent using Jamii Forums mobile app