BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
-
- #41
Manji ni Manji. Mimi ni Mimi. Sio kila anayepita njia uliyopita wewe na yeye lazima apite. Learn!Kamuulize Manji biashara za bongo zipoje atakupa jibu mjaaarabu kabisa
Endelea kuteseka mkuuTusisahauliane Kupeana kazi tu kiongozi mtaani hali ni mbaya mkuu...!
Sorrysio uhuni, ni business kama business zingine halali. kua na staha kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeona wewe ni mbishi na mzito kidogo kukubali Ukweli, tuache muda uamue , labda ipo siku utarudi hapa kukiri.mkuu nasikitika kusema ya kua hoja yako haina mashiko. Ila nikufundishe kitu kwenye maisha, kama barabara kuu imefungwa basi pita vichochoroni, kama vichochoro vimefungwa basi pita angani, kama anga limefungwa pita majini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbishi nina misimamo mikali sanaMkuu nimeona wewe ni mbishi na mzito kidogo kukubali Ukweli, tuache muda uamue , labda ipo siku utarudi hapa kukiri
SawaSio mbishi nina misimamo mikali sana
sasa unataka nikiri failure na nifuate njia yako.?! That can never happen. Ni hivyo hivyo ambavyo siwezi kukulazimisha wewe ufanye nachotaka kufanya, thats how life is.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada: Nakushauri mkuu majina tunayojiita ndivyo tunavyojinenea, usikubali kujiita hivyo na usikubali mtu akuite hivyo.Kama unataka niteseke sawa mkuu Niache Nteseke.
Nje ya mada: Nakushauri mkuu majina tunayojiita ndivyo tunavyojinenea, usikubali kujiita hivyo na usikubali mtu akuite hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atawehuka!Jifunze forex trading.
Serious mkuu pesa ipo kwenye korosho
Narudia tena kumshauri, hiyo pesa atenge walau robo tu, awekeze kwenye FOREX! Akubali kujifunza na akubali kusoma!Atawehuka!
Kuna jamaa anaenda MKENDO mitaa iyo sizani kama anapata faida.Mradi mkubwa wa mashine ya kukoboa mpunga kwa kiwango cha uzalizaji mkubwa (large scale).
Mambo ya kuzingatia...
1. Mradi uwe ktk eneo/ maeneo wanayolima mpunga kwa wingi. Mfano Morogoro wilaya ya Mvomero.
2. Uwe na Jengo/ ghala kubwa lenye uwezo wa kuweka kiasi kikubwa cha gunia za mpunga.
NB: Nimefanyia utafiti wa kina mradi wa aina hii kisha nikaandikia andiko mradi. Kama haitoshi nimefanikiwa kuanzisha mradi wa aina hii japo kwa kiwango cha cha chini (small-scale) kulingana na investment capital niliyokuwa nayo. Hivyo, naona kunaulinganifu wa karibu sana kati ya majibu (findings) za utafiti nilioufanya na uhalisia ninaouona.
Itakuwa ni MKINDO hiyo mkuu.Kuna jamaa anaenda MKENDO mitaa iyo sizani kama anapata faida
Umemwelewa lakini mkuu, mwenzako anataka biashara inayoweza kuzalisha zaidi ya millioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku, sasa kwenye forex atawekeza shs ngapi ili azalishe hiyo faida?Narudia tena kumshauri, hiyo pesa atenge walau robo tu, awekeze kwenye FOREX! Akubali kujifunza na akubali kusoma!
Baada ya miezi kadhaa mpaka mwaka mmoja ataona matunda yake!!
Tuanzie hapa kwenye hichi kikao ulikuwepoKwanini nitakuja kulia?! mkuu ukiongea unatoa hoja zilizoshiba ku defend point yako. ..karibu kwa hoja
Karibu uwekeze kiongozHello again, business personels
Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.
Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango yao pia kwa hii thread ulisaidia na wengine kwa kiasi kikubwa. Pia niwashukuru waliokuja inbox kwa ajili ya kunipa info zaidi na ushauri zaidi.
Pia kupitia hii thread nimefahamiana na watu ambao wengine ni business moguls ambao wamo humu humu Jamii Forums.
Lets use this forum wisely, you can gain much more than you think.
Mawazo, ushauri, yalikuwa mengi, ila nimeamua kuchukua ideas kama mbili hivi moja hii hapa kutoka kwa MDAU mmoja, nakushukuru sana, pia nitajaribu kuchekiana na wewe kwa ajili ya kupeana A,B,C's.
"Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).
Korosho by next year and years to come zitakuwa balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.
Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say)."
Idea ya 2: Ni SPORTS BETTING....nayo pia nilipata mawazo mazuri sana kutoka kwa mdau mmoja, nakushukuru sana, nawe pia tutakua pamoja katika kuijenga.
SOON NITAENDELEA KULETA PART 3 YA BIASHARA KUANZA NA OPERATIONS..UNTIL THEN..GOOD DAY!