Mrejesho: Biashara gani ya kuingiza faida zaidi ya milioni 100/200/300 hadi 500 kwa siku?

Sikuwepo. Thread ya kwanza kuhusu hili nilitoa mnamo Septemba 2019.
Sio mzuri sanaa wakuelezea kwa maandishi ndio maana kifupi tuu nikakwambia achana na hiyo biashara, Tulishapoteza pesa na muda, kwenye jambo lolote linakuwa na matamko ya kisiasa achana nalo, ndio maana kwa sasa Korosho, Pamba, Ufuta na n.k vyote vimesimama sababu tuu ni matamko ya Kisiasa leo litatoka tamko hili kesho lile yote hayo yanakuadhiri kwenye utendaji wako.
Kuna mdau alikuwa anasema kuna wanunuzi anao wako India kwa kuanzia jaribu kufuatilia jinsi ya kununua na kuuza nnje halafu uje na mrejesho.
 
sawa mkuu asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…