Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi wawekezaji wa madini tuwe na uzi wetu maalum wa kupeana uzoefu na mbinu
Mimi nakula hasara kila mara ila safari hii natumia mfumo wa kuchukua mawe kwenye maduara tofauti nione kama italeta matunda
Inabidi wawekezaji wa madini tuwe na uzi wetu maalum wa kupeana uzoefu na mbinu
Mimi nakula hasara kila mara ila safari hii natumia mfumo wa kuchukua mawe kwenye maduara tofauti nione kama italeta matunda
Ngoja nijaribu kukujibu kwa vitu vichache kulingana uelewa wangu,
Issue ya kaboni kuwa feki au original sio issue Sana kwenye kuozesha sababu kazi ya kaboni Ni kushika dhahabu so ikitokea kaboni Ni feki tanks zinakuwa hazikati sababu dhahabu inakuwa inazunguka ikitokea Hali hiyo unaongeza kaboni au unasafisha hiyo kaboni kwa kutumia acid
Sokoni Kuna mchezo wa kuweka maji machafu kupunguza purity ya dhahabu lakini now days sokoni tunatumia vipimo sio vya maji hii Ni ngumu kidogo kuchezewa mchezo,ipo hivi sokoni Kuna watu wa madini ofisi ya madini kabla haujauza dhahabu wanaipima wao then unaenda kwa dealer so madini wanatuma kipimo Cha exray which are the best
Yes unaweza kujenga elution au plant yako ,plant nzuri Hadi ikamilike Ni almost 30M na ellution almost ,150M
Wizi mwingi wa plants Ni kuvamiwa na watu kuiba kaboni
Wizi mwingi wa elution kuweka stillwire sahemu isiyo rasmi hapa unaweza kwenda na fundi ukague mashine before haujapandisha mzigo.
Wizi mwingine ambao watu hawajajua ipo hivi,ukipeleka mzigo ,wanapakia kwenye mashine then wanawasha Sasa katikati wanakuzimia transformer hapo piga ua stillwirehaishiki dhahabu means dhahabu inabaki kwenye kaboni Sasa wakati wa kushusha wanakubafilishia kaboni solution uwe makini wakati wa kuwasha mashine kila muda uwe unakagua heater zote zinawaka , transformer inawaka na pamp inawaka muda wote kimoja kisipofanya kazi dhahabu inabakia kwenye kaboni
Mkuu majibu ya haya plzMkuu nisaidie majibu haya
1. Hizo gari 30 za Tani 10 zilitoa jumla ya tank ngap? Na ukubwa wa tank ulizotumia zilkuwa tan ngap?
2. Ulitumia gharama kiasi Gani kwenye madawa
3.mkemia wako ulimlipa kiasi Gani Kwa kazi hyo?
4. Hyo Tani kumi ni aina Gani ya gari?
NB; Mkuu tupe majibu ya Kwa faida ya wengi
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Nilishawahi kununua mawe ya tenki 10 za tani 30 kila moja, nikapata hasara ya milioni 14, ila sasa hivi nachimba mwenyew.unachimba mwenyewe au unanunua mawe?
Nilishawahi kununua mawe ya tenki 10 za tani 30 kila moja, nikapata hasara ya milioni 14, ila sasa hivi nachimba mwenyew.
Hiyo wanakubali sababu biashara ya elution imekuwa na ushindani ukiwa unapeleka mzigo wape hiyo conditionThanks man. Thanks for your time na kutokuwa mchoyo wa taarifa na maarifa. Information is power. Highly appreciated mkuu. Umetoa mwanga na nimepata kitu.
Natumai beginners wa biashara hii watanufaika na mchango wako huu. Idumu jf.
Swali la nyongeza... Hiyo ya kwenda na fundi/mtaalam akague mashine ya Elution kabla ya kupandisha carbon, wenye Elution wanakubali? What if wakikataa?
-Kaveli-
Brother gold ni vizuri uwe na vibali either uwe broker au dealer,soko la juu lipo nje ukiwa dealer unaweza kuuza nje ya nchi but broker unauza ndani , dealer mtaji Ni mkubwa sana other wise uwe unanunua dhahabu kwa njia za panya then utoroshe which is very risk,bei huwa inachange kila siku but kwa porini unaweza kununua kwa 100k per gram hapo Ni dhahabu mbichi haijachomwa na gas kupata purity yake.Naomba kujua bei za sasa za dhahabu iwe ni kufuata machimboni au popote inapopatikana nchini. Nafikiria kununua kwanza kisha nitafute masoko mengine ya juu.
Ukinunua jaribu kupima ppm before Tena Pima zaidi ya Mara tatu hapo unaweza kuepuka hasara,hakikisha sample unachukua mwenyewe usimtume mtu akuchukulie sample utalia sanaNilishawahi kununua mawe ya tenki 10 za tani 30 kila moja, nikapata hasara ya milioni 14, ila sasa hivi nachimba mwenyew.
Ahsante sana kwa maelezo mazuriBrother gold ni vizuri uwe na vibali either uwe broker au dealer,soko la juu lipo nje ukiwa dealer unaweza kuuza nje ya nchi but broker unauza ndani , dealer mtaji Ni mkubwa sana other wise uwe unanunua dhahabu kwa njia za panya then utoroshe which is very risk,bei huwa inachange kila siku but kwa porini unaweza kununua kwa 100k per gram hapo Ni dhahabu mbichi haijachomwa na gas kupata purity yake.
Hiyo wanakubali sababu biashara ya elution imekuwa na ushindani ukiwa unapeleka mzigo wape hiyo condition
UtatapeliwaNaomba kujua bei za sasa za dhahabu iwe ni kufuata machimboni au popote inapopatikana nchini. Nafikiria kununua kwanza kisha nitafute masoko mengine ya juu.
Negative Mind, ni rahis kuona waliopoteza kwa sababu inakufanya ujione wewe sio mzembe kwenye maisha...utaacha kuona wengine waliopata na bado wana maisha mazuri...huyu bado sana. Mzee alipiga Billioni 4, na sasa hivi yupo kwenye kijiwe cha kahawa anabembeleza anunuliwe.