Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

Mrejesho; Biashara ya madini ya dhahabu... fourth season

Inabidi wawekezaji wa madini tuwe na uzi wetu maalum wa kupeana uzoefu na mbinu
Mimi nakula hasara kila mara ila safari hii natumia mfumo wa kuchukua mawe kwenye maduara tofauti nione kama italeta matunda

Mkuu zipo nyuzi nyingi tu humu zinazojadili mambo ya uchenjuaji jaribu kutafuta.
 
Inabidi wawekezaji wa madini tuwe na uzi wetu maalum wa kupeana uzoefu na mbinu
Mimi nakula hasara kila mara ila safari hii natumia mfumo wa kuchukua mawe kwenye maduara tofauti nione kama italeta matunda

unachimba mwenyewe au unanunua mawe?
 
Mkuu nisaidie majibu haya
1. Hizo gari 30 za Tani 10 zilitoa jumla ya tank ngap? Na ukubwa wa tank ulizotumia zilkuwa tan ngap?

2. Ulitumia gharama kiasi Gani kwenye madawa

3.mkemia wako ulimlipa kiasi Gani Kwa kazi hyo?

4. Hyo Tani kumi ni aina Gani ya gari?

NB; Mkuu tupe majibu ya Kwa faida ya wengi

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nijaribu kukujibu kwa vitu vichache kulingana uelewa wangu,
Issue ya kaboni kuwa feki au original sio issue Sana kwenye kuozesha sababu kazi ya kaboni Ni kushika dhahabu so ikitokea kaboni Ni feki tanks zinakuwa hazikati sababu dhahabu inakuwa inazunguka ikitokea Hali hiyo unaongeza kaboni au unasafisha hiyo kaboni kwa kutumia acid

Sokoni Kuna mchezo wa kuweka maji machafu kupunguza purity ya dhahabu lakini now days sokoni tunatumia vipimo sio vya maji hii Ni ngumu kidogo kuchezewa mchezo,ipo hivi sokoni Kuna watu wa madini ofisi ya madini kabla haujauza dhahabu wanaipima wao then unaenda kwa dealer so madini wanatuma kipimo Cha exray which are the best

Yes unaweza kujenga elution au plant yako ,plant nzuri Hadi ikamilike Ni almost 30M na ellution almost ,150M
Wizi mwingi wa plants Ni kuvamiwa na watu kuiba kaboni

Wizi mwingi wa elution kuweka stillwire sahemu isiyo rasmi hapa unaweza kwenda na fundi ukague mashine before haujapandisha mzigo.
Wizi mwingine ambao watu hawajajua ipo hivi,ukipeleka mzigo ,wanapakia kwenye mashine then wanawasha Sasa katikati wanakuzimia transformer hapo piga ua stillwirehaishiki dhahabu means dhahabu inabaki kwenye kaboni Sasa wakati wa kushusha wanakubafilishia kaboni solution uwe makini wakati wa kuwasha mashine kila muda uwe unakagua heater zote zinawaka , transformer inawaka na pamp inawaka muda wote kimoja kisipofanya kazi dhahabu inabakia kwenye kaboni

Thanks man. Thanks for your time na kutokuwa mchoyo wa taarifa na maarifa. Information is power. Highly appreciated mkuu. Umetoa mwanga na nimepata kitu.

Natumai beginners wa biashara hii watanufaika na mchango wako huu. Idumu jf.

Swali la nyongeza... Hiyo ya kwenda na fundi/mtaalam akague mashine ya Elution kabla ya kupandisha carbon, wenye Elution wanakubali? What if wakikataa?

-Kaveli-
 
Mkuu nisaidie majibu haya
1. Hizo gari 30 za Tani 10 zilitoa jumla ya tank ngap? Na ukubwa wa tank ulizotumia zilkuwa tan ngap?

2. Ulitumia gharama kiasi Gani kwenye madawa

3.mkemia wako ulimlipa kiasi Gani Kwa kazi hyo?

4. Hyo Tani kumi ni aina Gani ya gari?

NB; Mkuu tupe majibu ya Kwa faida ya wengi

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Mkuu majibu ya haya plz
 
Naomba kujua bei za sasa za dhahabu iwe ni kufuata machimboni au popote inapopatikana nchini. Nafikiria kununua kwanza kisha nitafute masoko mengine ya juu.
 
Nilishawahi kununua mawe ya tenki 10 za tani 30 kila moja, nikapata hasara ya milioni 14, ila sasa hivi nachimba mwenyew.

I know the feeling. Unachimba wapi?
 
Wenye uzoefu kwenye hii biashara tafadhari msisite kutupatia madini humu ndani tuendelee kujifunza kabla hatujaingia miguu yote na sisi Changamoto hazikosekani kila mahali.
 
Thanks man. Thanks for your time na kutokuwa mchoyo wa taarifa na maarifa. Information is power. Highly appreciated mkuu. Umetoa mwanga na nimepata kitu.

Natumai beginners wa biashara hii watanufaika na mchango wako huu. Idumu jf.

Swali la nyongeza... Hiyo ya kwenda na fundi/mtaalam akague mashine ya Elution kabla ya kupandisha carbon, wenye Elution wanakubali? What if wakikataa?

-Kaveli-
Hiyo wanakubali sababu biashara ya elution imekuwa na ushindani ukiwa unapeleka mzigo wape hiyo condition
 
Naomba kujua bei za sasa za dhahabu iwe ni kufuata machimboni au popote inapopatikana nchini. Nafikiria kununua kwanza kisha nitafute masoko mengine ya juu.
Brother gold ni vizuri uwe na vibali either uwe broker au dealer,soko la juu lipo nje ukiwa dealer unaweza kuuza nje ya nchi but broker unauza ndani , dealer mtaji Ni mkubwa sana other wise uwe unanunua dhahabu kwa njia za panya then utoroshe which is very risk,bei huwa inachange kila siku but kwa porini unaweza kununua kwa 100k per gram hapo Ni dhahabu mbichi haijachomwa na gas kupata purity yake.
 
Nilishawahi kununua mawe ya tenki 10 za tani 30 kila moja, nikapata hasara ya milioni 14, ila sasa hivi nachimba mwenyew.
Ukinunua jaribu kupima ppm before Tena Pima zaidi ya Mara tatu hapo unaweza kuepuka hasara,hakikisha sample unachukua mwenyewe usimtume mtu akuchukulie sample utalia sana
 
Brother gold ni vizuri uwe na vibali either uwe broker au dealer,soko la juu lipo nje ukiwa dealer unaweza kuuza nje ya nchi but broker unauza ndani , dealer mtaji Ni mkubwa sana other wise uwe unanunua dhahabu kwa njia za panya then utoroshe which is very risk,bei huwa inachange kila siku but kwa porini unaweza kununua kwa 100k per gram hapo Ni dhahabu mbichi haijachomwa na gas kupata purity yake.
Ahsante sana kwa maelezo mazuri
 
huyu bado sana. Mzee alipiga Billioni 4, na sasa hivi yupo kwenye kijiwe cha kahawa anabembeleza anunuliwe.
Negative Mind, ni rahis kuona waliopoteza kwa sababu inakufanya ujione wewe sio mzembe kwenye maisha...utaacha kuona wengine waliopata na bado wana maisha mazuri...
 
Back
Top Bottom