Mrejesho: ex-gf wangu kanitia hasara tuu!!

Njoo nkupe kasongo hii inafaa kwa mech za ufunguz kama hzo warab wackuadhr


Cpendag ujnga mm luz bol kama hzo kasongo lazma ahucke unacmamia shoo freeeesh
 
Mkuu wewe ni story teller mzuri sana.....Unaleta episode baada ya episode........Kila la kheri!


Story zangu ni za kweli halafu zinafundisha pia....
Kuna wakuda kibao huwa wanapata maujanja kutoka kwa ma story yangu haya haya..
Kubabake walay.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Kukuaga anaenda shule ndo kajileta!!!! Wakaka ndo mlivyo eeh- mkitaftwa inakuwa ' kajileta' ' kajipendekeza' hata kama hana nia hiyo. Aisee ndo maana cpendagi kumzoea mkaka pasipo sababu ya msingi
 
Ukimkuta huyu ni bikra utamuoa?


Hicho ndio kilio changu kila cku. Nikimkuta Virgin ndio itakua mwisho wangu kuwachezea watoto wa kike. Hakika nitasubiri amalize shule nimchumbie. Niombee nimkute bikra.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
ngoja kesho nkapige kambi hapo moveck hotel, mvua 30 zinakuhusu uende ukawasimulie utumbo wako manyampara


Mkwala mbuzi huo. Security officers wa pale getini hawawezi kuruhusu mimtu kuingia ndani kusumbua wateja walio kwenye starehe zao.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Hicho ndio kilio changu kila cku. Nikimkuta Virgin ndio itakua mwisho wangu kuwachezea watoto wa kike. Hakika nitasubiri amalize shule nimchumbie. Niombee nimkute bikra.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Basi kama una nia nae njema mwache kwanza amalize shule, lakini utajenga uhasama na ex wako. Tena huyu alipass form four kwenda five, kitu kulichokufanya umpige chini ex. Vikishindana nitakuzalia mke uwe mkwe wangu.
 
mmmmh mbona kama cjaelewa kwa hiyo story bado inaendelea.


Hujaelewa nini sasa wakat kila kitu kimejieleza hapo juu... Wewe elewa kuwa jmosi nakwenda kumgonga ndugu wa Ex-gf wangu. OVER.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Duh, JF mgt, you still have a very aggressive job to do. It's very unfair kuchanganya vijana ambao ndio kwanza wanabalehe kujadili mada na watu wazima. So, the big challenge here is to see how to moderate discussions between these two groups, they are typically incompatible! Ina-bore sana kwa mtu mzima kama mimi kukutana na threads za kijinga kama hz halafu niwe comfortable, very disgusting!
 
Mkuu nina shaka na uandishi wako ur so empty minded engnr


Endelea kuniita empty minded... Mwenzio taratiiibu jmosi naenda kubanjua MBUNYE mpyaaa... Kubabake walay.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Leo moja kani inbox wasap nikamwambia no time for that when we uliniacha so baki na wako sina muda huo
 
Looh! Tumia kinga mkuu...mambo ya ukawa kutoka hivyo hovyo utampa mimba bure...


Nitamuuliza mzunguko wake wa Hedhi...
Akiwa kwenye safe days mzee ni mwendo wa kavu kavu nomaaaaa... MBUNYE mpyaaa!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Sijaelewa kabisa, sijui ni uelewa wangu kuwa mdogo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…