Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Hizi ndo story za kusikiliza na kujifunza. Hongera mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾
 
WaTz ni wabovu sana katika kupanga maisha! Kuoa, kuzaa ni kana kwamba wanakurupushwa au wanakimbilia. Sasa unakuwa na watoto, hujafanya utafiti elimu gani, inapatikana aje, itakuwa bora kwa mwanao. Ni kuufuata mkumbo, hujajizatiti kiuchumi, matokeo yake ni kujipa moyo kwa mipango ya zima moto. Tuna safari ndefu!
 
Connections inatakiwa iwe mutual broh
Ukijikakamua kupeleka huko iwe kwa ajili ya elimu bora sio connections za kujipendekeza sabb huko no body gives a f#@&^
Ukikaa na washua hawana hizo sana labda kama kazaliwa na roho mbaya. Ambao wapo obsessed na kunyenyekewa na kutishia misuli ni wale ambao maisha tumeyapatia ukubwani ila wenzetu wanaangalia ni nini unaleta mezani ili muinuke wote.. Iwe ni akili, skills ama potential yoyote uliyonayo kwa hiyo connection kuwa mutual haimaanishi wote muweke hela, ndio maana familia ya kusaga iliweka pesa ila ruge akaweka akili kuitengeneza clouds tunayoiona leo 🙏🏽
 
Ukiwa na hela ndo uzitumie kizembe mkuu? Hiyo haipo. Mpeleke Kayumba halafu msimamie vizuri atatoboa tu mkuu.

Umeongea point nzuri sana halafu tena unataka kuharibu.


Umesema English Medium za waswahili nyingi ni ovyo. Ni ubabaishaji mtupu.
Yes, nimekupata Mkuu
 
Hapo sawa umesomeka mkuu.

Nilitaka kushangaa aisee.

English Medium hizi hizi za kumilikiwa na Mr. And Mrs Mugetta, mtaala wa Necta, walimu wanakimbia kila siku kwa kutolipwa mishahara ndio niwalipe milioni hao kwa mwaka aisee nitakuwa na kichaa ama nini
 
Nina mtoto anasoma la Kwanza ila ana mwandiko mzuri kuliko darasa la 7 wa Kayumba
Anapiga hesabu za darasa la 4
Unalipa mamilioni ili mtoto awe na mwandiko mzuri 🤣🤣🤣🤣 umepigwa mkuu
Nina mtoto anasoma la Kwanza ila ana mwandiko mzuri kuliko darasa la 7 wa Kayumba
Anapiga hesabu za darasa la 4
 
Hapo sawa umesomeka.

Nilitaka kushangaa aisee.

English Medium hizi hizi za kumilikiwa na Mr. And Mrs Mugetta, mtaala wa Necta, walimu wanakimbia kila siku kwa kutolipwa mishahara ndio niwalipe milioni hao kwa mwaka aisee nitakuwa na kichaa ama nini
Watu sasa wanajitahidi angalau kupeleka watt huko sabb ya mazingira mazuri ya kujisomea
Elimu bora iko international schools
 
Watu sasa wanajitahidi angalau kupeleka watt huko sabb ya mazingira mazuri ya kujisomea
Elimu bora iko international schools
I agree with you. Elimu bora ipo International school sio hizi English Medium za kumilikiwa na waswahili akina Mr. And Mrs Mugetta. Ni ubabaishaji mtupu ni sawa na kayumba tu ambazo zinafundisha kwa KIINGEREZA.

1. Mwalimu kasoma kayumba.

2. English sio lugha yake ya kwanza.

3. English sio lugha yake ya mawasiliano.

Halafu eti nimlipe mamilioni amsomeshe mtoto wangu kwa KIINGEREZA lugha ambayo yeye mwenyewe hawezi kuiongea vizuri. Never ever and never ever again.


Kuhusu mazingira,wazazi mkiamua kujiogranize mnaweza kupanda miti na maua mazuri kwenye eneo la shule na shule ikawa na mazingira mazuri yenye kuvutia.

Kuhusu matundu ya vyoo na uchakavu wa madarasa still wazazi bado mnaweza kuchanga vikajengwa vyoo vya kisasa na madarasa mapya yakajengwa plus ofisi za waalimu na mazingira ya shule yakawa mazuri.
 
Hizi ndo story za kusikiliza na kujifunza. Hongera mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾
Ndugu umaskini unakujaga na mambo mengi ya kushangaza. Kuna watu tulimaliza nao form six 2006 na walifaulu vizuri ila wengi waliamua kusomea education kwa sababu ya kupata ajira kirahisi ya ualimu. Hii ilitokana na wao kuhofia wakisoma kitu kama Bcom watakosa ajira na kushindwa kusaidia familia. Mimi pia nilienda kinyume kabisa na hayo maoni na sijawahi kujutia. Kimsingi kuimaliza poverty cycle inahitaji uwendawazimu fulani.
 
Contents is the same = The content is the same. Ulikuwa unawazidi kwa kiingereza cha hovyo.
Umeumia Naona mie kuwazidi Naona. English olevo Nina B nzuri kabisa.
Nikapata na division one ya single digits. Sio kuwa kula chakula ama kulala regency hotel ndio na wewe utakuwa tajiri.kulipa hela kubwa Ada sio kuwa ndio utaongezeka uwezo wa nguvu za kichwani. Yaani Kama wew Ni mvivu hata uwe wapi uvivu wako upo tu.
Fanya mpango tufanye test ya British council ndio tuone nani Ni Nani. Na uelewe kiswahili nimejifunza nilipoanza la kwanza. Niko kidato Cha Pili naongea English. Ubongo wetu Ni wa ajabu mno na uwezo wa ajabu kuliko unavyowaza.
Kuna jamaa tulisoma nao huko urusi. Yaani mtu anafika anasoma Russian language Yuko above let say 23yrs akamaliza six hapa home. Akishamaliza kozi ya lugha anaanza kugonga main course yaani mwaka mmoja wa lugha.

Sasa bwana kimaajabu anaelewa vitu na vinafundishwa kwa kirusi mpaka anaanza kuwalekeza warusi.
So I can conclude that language is of immaterial to mind power for mastering various shits
 
Komenti ya mwaka mkuu. Ubarikiwe sana mkuu. Nimejifunza kitu kwako. Mkuu Wyatt Mathewson unasemaje hapo?
 
Story zetu ni kama zinafanana 😁😁

Ualimu haujapigiwa promotions ila kitu uliwafanya graduates wengi ni kama kilimo cha tikiti
 
Maelezo mengi sana ila sentensi ya kiingereza uliyoandika inakusaliti. Usihofu hilo ni tatizo la wengi hauko peke yako.
 
Maelezo mengi sana ila sentensi ya kiingereza uliyoandika inakusaliti. Usihofu hilo ni tatizo la wengi hauko peke yako.
Ni kawaida ya brain kutafuta faults, errors,mistakes, blunders etc. Sikuoni Kama una kosa Bali Ni nature ilichokuzawadia sema inatakiwa upambane ufanye recoding Kama sio reprogramming ili uweze kuushinda ubongo wako dhiidi ya reptile brain,tumia cortex achana na limbic and amygdaly brains zitakupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…