Mrejesho: Forex ya Ontario

Wewe ndo utakuwa Ontario mwenyewe haswaaaaaaa!!! Pengine umekuja kwa ID tofauti [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama nimefikia kiwango cha kuanza kufananishwa na mentor wangu basi itakuwa nami nimeanza kuwa smart. I take it as a compliment.
 
Napingana na wewe,, usipofata masharti ya kutrade forex unapata hasara tena ya nguvu
 
1: Hii biashara sio real maana hakuna biashara ya kupata faida tu au asilimia kubwa wanapata tu faida hakuna hasara.
Unataka wapate hasara au?
2:Huwez kupata ukwel wa hii biashara kuputia jf maana Ontario anapata faida kubwa kwa training na jf wanapata %.
Sasa wewe unataka ukweli kutoka kwa mtu mmoja? kwanini usifanye utafiti kama kweli una kichwa chenye akili?
3: Thread na comments za wanaosema ukwel zinafutwa maprma sana ivyo ni ngumu kupata upande wa pili wa story.
Thread gani imefutwa?

Nakushauri fanya utafiti, forex haifanyi jf forex inafanywa dunia nzima, acha kukaa na kuongea porojo zisizo na maana!!
 
Hakuna haja ya mrejesho....nyie hamuiamini forex alafu kila siku mnataka mirejesho? chakufanya ni kufanya kama hujawahi kuisikia alafu endelea na michakato mingine
Well said[emoji106]
 
Haijalishi watu wanasema nini, mafanikio ambayo yameanza kuonekana kwa wengi wetu ni uthibitisho tosha wa jinsi TMT ilivyo fanikiwa kubadili maisha kupitia fursa ya forex trade.

Mimi kama mmoja wa wanufaika nampongeza sana Ontario kwa moyo na nia ya kutufikia vijana wengi ili kupambana na makali ya maisha
 
Tupo mkuu tunapiga mzigo kwa sana,binafsi nampongeza sana ONTARIO kwa kazi hii nzuri naiona kabisa future yangu ikiwa nyingine baada ya mwezi mmoja ujao
 
We make good life now for no reason TMT change people's life.
Continue to say they are scammers while we are downloading money..hahahaaa
 
Tulishawaambia.....mtuache wenyewe. Kila mtu na maisha aliyochagua. Hakuna mtu aliyeanza kutrade kwa live through ONTARIO kwa week 2 au zaidi ambaye hajarudisha pesa yake. Huko baadaye hata ikiwa hivyo mnavyotaka nyinyi.....freshi tu maana hela tushapata.

Wapo waliopata faida kisha wakaunguza akaunti ikabidi wafund tena.

Wapo ambao hatujawahi kuunguza na tunapiga hela.

Wapo ambao hawajabreakeven....ndio maisha. There we go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…