Yaani unachokiongea ndo ninachomaanisha. Friji ni umeme, microwave ni umeme, pass ni umeme na hapo hawajaangalia tamthilia mpaka saa tano usiku, vyote ni vya aki na mama.Mkuu acha visirani[emoji23]. Hapa ghetto nikakoishi wadada wakiwepo wikiend umeme unaotumika kwa siku ni ule unaotumika kwa siku tatu wasiposhinda.
Kuna hii kitu inaitwa "earth leakage" nayo inaongeza matumizi ya umeme?
Je, unawezaje kujua kama nyumba yako ina tatizo hilo (earth leakage) na ufumbuzi wake ni upi?
Hapa naulizia hususani pale ambapo "earth wire" pamoja na "earth rod" vipo na vinaonekana vimefungwa kikamilifu (vipo intact)
Nitashukuru iwapo utatujuza.
Washing wachine semi-automatic (umeiita manual) kg 7-8 kibiashara haitofaa. Ni ndogo.Habari @The hitman @mng'ato na mtoa Mada yani @Transitor na wengine wote ningependa kujua zaidi kuhusu "Washine Mashine" Nina mpango wa kupangisha single room na nataka kununua washing-mashine ya Kg 7-9 zile za manuall ambayo nataka niwe natumia kufua nguo zangu na pia niwafulie na watu ki bisashara. Je ni wazo baya? ki umeme au maji ama vinginevyo? Mawazo yenu tafadhali.
Yeah sorry ni semi-automatic.Washing wachine semi-automatic (umeiita manual) kg 7-8 kibiashara haitofaa. Ni ndogo.
Unakadiria kuhudumia nguo ngapi kwa siku? Ukitaja kwa kilo itapendeza (kama utaweza).
Kwa kuwa soko hukua na pia kazi yako ni ya karibu kila siku nashauri chukua kuanzia kg 10 na zaidi.Yeah sorry ni semi-automatic.
Nlitaka kitega uchumi ambapo ntaweza kufua nguo labda 80 kwa siku!
Hapo pia kutakua na mchanganyiko wa mashuka mapazia na ma blanket haya ya kilo 4-6. Kifupi ni nguo za watu wa kawaida nataka kuwafanya kuwa soko langu!
Umeme ni reasonable tu. Nyingi zina hadi 400Watts. Sasa 400W ili umalize unit 1 ni mashine ipige kazi kwa masaa 2.5. Hapo kama utatumia sana ni unit 1 au 2 kwa siku kama nguo ni nyingi sana. Tanesco Unit 1=Tsh 350Asante kwenye matumizi ya umeme unadhani itakua ni la kutisha sana? Ama ipo Reasonable?
Bongo kuna Delta, Hisense, West point, Boss, LG, Von Hotpoint, Beko n.k. Mimi muuzaji aliniambia karibu yote hapo ni wachina akanishauri angalau Von HotPoint ya waturuki. 10kg tangu Juni 2018 linapiga kazi...kila baada ya siku 1 tunalifulia blanket.Lakini pia makampuni ni yapi hapa Bongo nimeyaona ya von , delta na kampuni ambazo sijawai sikia!
LG mchina? Ndo kwanza nasikia leo?Umeme ni reasonable tu. Nyingi zina hadi 400Watts. Sasa 400W ili umalize unit 1 ni mashine ipige kazi kwa masaa 2.5. Hapo kama utatumia sana ni unit 1 au 2 kwa siku kama nguo ni nyingi sana. Tanesco Unit 1=Tsh 350
Bongo kuna Delta, Hisense, West point, Boss, LG, Von Hotpoint, Beko n.k. Mimi muuzaji aliniambia karibu yote hapo ni wachina akanishauri angalau Von HotPoint ya waturuki. 10kg tangu Juni 2018 linapiga kazi...kila baada ya siku 1 tunalifulia blanket.
Ndio mkuu. Najua ni brand ya Korea kama ilivyo Westpoint ya France. Hizo zote za pale K/koo zinatengenezwa China. Pale K/koo hupati washing machine semi automatic iliyotoka Korea.LG mchina? Ndo kwanza nasikia leo?
Kuna utofauti gani kati ya automatic na semi_auto? Nina rafiki yangu akiskia kuhusu washing mashine anatamani kulia kwa inavyo kula umeme na maji! Aliokuwa anatumia ni Full-auto . Zina tofauti za watts? Ama ni ufuaji?Umeme ni reasonable tu. Nyingi zina hadi 400Watts. Sasa 400W ili umalize unit 1 ni mashine ipige kazi kwa masaa 2.5. Hapo kama utatumia sana ni unit 1 au 2 kwa siku kama nguo ni nyingi sana. Tanesco Unit 1=Tsh 350
Bongo kuna Delta, Hisense, West point, Boss, LG, Von Hotpoint, Beko n.k. Mimi muuzaji aliniambia karibu yote hapo ni wachina akanishauri angalau Von HotPoint ya waturuki. 10kg tangu Juni 2018 linapiga kazi...kila baada ya siku 1 tunalifulia blanket.
Naomba nirudi kukujibu baadae umeme ukirudi nikichaji simu. Nina chaji 10% tu.Kuna utofauti gani kati ya automatic na semi_auto? Nina rafiki yangu akiskia kuhusu washing mashine anatamani kulia kwa inavyo kula umeme na maji! Aliokuwa anatumia ni Full-auto . Zina tofauti za watts? Ama ni ufuaji?
Na kuhusu sabuni ya kufulia inakuaje unatumia detergent gani je ni kweli kutengeneza sabuni yako ni vyema zaidi kuliko za viwandani?
Vipi kuhusu maji kwenye hizi semi-automatic zina water inlet je siez chota na ndoo nika miminia tu?
Asante in advance!
Kuna utofauti gani kati ya automatic na semi_auto? Nina rafiki yangu akiskia kuhusu washing mashine anatamani kulia kwa inavyo kula umeme na maji! Aliokuwa anatumia ni Full-auto . Zina tofauti za watts? Ama ni ufuaji?
Asante kwa huo mchanganuo! Nimependa uliposema "daaah nilishangazwa na ile starehe."Automatic- hii inakuwa na pipes unaunga kwenye inlet na outlet. Unaijaza nguo, unaipa sabuni na detergent kama unataka. Then unaipa settings. Zipo zitazokafua. Kusuuza. Na kukausha. Ikimaliza inapiga alarm tu unatoa nguo zako unaanika nje kidogo zikauke vizuri. Hapo tegemea ulaji sana wa maji. Umeme inategemea ina watt ngapi na mzigo inaosukuma
Semi-auto- hizi za kawaida tu. Inabidi uwepo kusimamia baadhi ya operations. Inaweza kuwa ma drums mbili kwamba ikishafua uje uhamishe kwenye drum ya kukausha
Bado ulaji wa umeme unategemea na mashine ina watt ngapi na muda wa operation
Mimi kipindi nanunua nilikuwa sina exposure so nikajua mashine yoyote ni automatic. Yangu ni manual ila sijawahi juta. Tangu 2012 mpaka leo ipo fresh. Ni Samsung WT80J8
Nikaja kutana na full automatic daaah nilishangazwa na ile starehe. [emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1661832