Automatic- hii inakuwa na pipes unaunga kwenye inlet na outlet. Unaijaza nguo, unaipa sabuni na detergent kama unataka. Then unaipa settings. Zipo zitazokafua. Kusuuza. Na kukausha. Ikimaliza inapiga alarm tu unatoa nguo zako unaanika nje kidogo zikauke vizuri. Hapo tegemea ulaji sana wa maji. Umeme inategemea ina watt ngapi na mzigo inaosukuma
Semi-auto- hizi za kawaida tu. Inabidi uwepo kusimamia baadhi ya operations. Inaweza kuwa ma drums mbili kwamba ikishafua uje uhamishe kwenye drum ya kukausha
Bado ulaji wa umeme unategemea na mashine ina watt ngapi na muda wa operation
Mimi kipindi nanunua nilikuwa sina exposure so nikajua mashine yoyote ni automatic. Yangu ni manual ila sijawahi juta. Tangu 2012 mpaka leo ipo fresh. Ni Samsung WT80J8
Nikaja kutana na full automatic daaah nilishangazwa na ile starehe. [emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1661832