Mrejesho: Haya ni matatizo mbalimbali tuliyoyagundua katika baadhi ya nyumba zenye tatizo la bili kubwa ya umeme

1 Nini kilikua chanzo kikubwa cha kununua mashine ni pesa zipo ama uliona kufua ninkazi?

Nilipanga geto flani ambalo sehemu ya kuanika nguo ina competition sana. Kwa hiyo nikikausha na mashine naweza hata kuanika ndani zikakauka fasta

2 Lakini pia kwenye auto umesema inakula maji je na semi-auto?

Mimi mashine yangu naweza fua nguo na kusuuza kwa ndoo kama 6 tu za lita 20. Ila ile auto ambayo unaunga inlet then yenyewe inajipimia nahisi inachota sana maji. Pia ile manual naweza amua nikasuuza nguo nje ya mashine then nikaja kutupia kwenye drum ya kukausha. Ingawa ulaji wa maji inaweza kuwa sio issue maana maji ni cheap sana per unit

3 Ulipitia mchakato gani kuja ku nunua hii? Uliangalia bei au uli ipata tu?

Niliiona kwa rafiki yangu nikaipenda. Ila ingekuwa enzi hizi ningenunua full automatic. Ile ndio safi.

Cha muhimu kwenye ufuaji wa mashine tuwe na kawaida ya kusoma tags za nguo. Zinaeleza sana kuhusu nguo husika na kwamba unaweza kuifua na mashine na kukausha kwa turbo dry au la. Sio kuweka tu nguo kwenye mashine. Ukikosea nguo zinapauka haraka sana
 
Nilipanga geto flani ambalo sehemu ya kuanika nguo ina competition sana. Kwa hiyo nikikausha na mashine naweza hata kuanika ndani zikakauka fasta

Mimi mashine yangu naweza fua nguo na kusuuza kwa ndoo kama 6 tu za lita 20. Ila ile auto ambayo unaunga inlet then yenyewe inajipimia nahisi inachota sana maji. Pia ile manual naweza amua nikasuuza nguo nje ya mashine then nikaja kutupia kwenye drum ya kukausha. Ingawa ulaji wa maji inaweza kuwa sio issue maana maji ni cheap sana per unit

Niliiona kwa rafiki yangu nikaipenda. Ila ingekuwa enzi hizi ningenunua full automatic. Ile ndio safi.

Cha muhimu kwenye ufuaji wa mashine tuwe na kawaida ya kusoma tags za nguo. Zinaeleza sana kuhusu nguo husika na kwamba unaweza kuifua na mashine na kukausha kwa turbo dry au la. Sio kuweka tu nguo kwenye mashine. Ukikosea nguo zinapauka haraka sana
Asante sana! Hapo kwenye tags hapo ndioo kunayo kazi!
 
Kuna utofauti gani kati ya automatic na semi_auto? Nina rafiki yangu akiskia kuhusu washing mashine anatamani kulia kwa inavyo kula umeme na maji! Aliokuwa anatumia ni Full-auto . Zina tofauti za watts? Ama ni ufuaji?

Na kuhusu sabuni ya kufulia inakuaje unatumia detergent gani je ni kweli kutengeneza sabuni yako ni vyema zaidi kuliko za viwandani?

Vipi kuhusu maji kwenye hizi semi-automatic zina water inlet je siez chota na ndoo nika miminia tu?

Asante in advance!
Washing machine zipo katika makundi mawili. Automatic (fully) na semi automatic (manual).

1. Semi automatic washing machine ni mashine ya kufulia inayofanya kazi kwa wewe kuisaidia. Yani kila hatua katika ufuaji inahitaji ushiriki wako.
Mara nyingi zina vyumba viwili. Cha kufulia na kukaushia.

Huwa zina kuja na mpira wa maji (water inlet pipe) na tundu la kuchomeka.
download.jpeg

Ushiriki wako ni kama ifuatavyo.
-Unaanza kwa kuweka maji. Unaweza kuweka kwa ndoo au ukachomeka mpira wake direct bombani. Hapa kiasi cha maji unakadiria mwenyewe.
- Then unaweka sabuni. Yaweza kuwa ya unga au ya maji. Then washa kidogo kukoroga halafu weka nguo. Bonyeza ifue. Muda unaset mwenyewe (unakadiria kulingana na uchafu na ugumu wa nguo).
-ikimaliza kufua, unabonyeza inamwaga maji then unaweka mengine inasuuza.
-Baada ya kusuuza unaweza amua kuhamishia nguo chumba cha pili cha mashine ikamue (hata hadi kukausha ukipenda).

Faida za Semi-automatic
a. Ni bei nafuu kuliko full-automatic.
b. Unaokoa maji maana unajipimia mwenyewe unavyoona.
c. Inasevu umeme kwa kuwa hatua zote za ufuaji unajipangia mwenyewe.
d. Si lazima kuwa na maji ya bomba direct. Unaweza weka mwenyewe.
e. Hufua kwa muda mfupi.
f. Haina vifaa vingi hivyo si rahisi kuharibika haribika.

Hasara zake
a. Haiwezi fanya kazi yenyewe. Lazima uisadie.
b. Zoezi la kuweka maji, kumwaga maji, kutoa nguo ili kukamua laweza sababisha maji kumwagika mwagika. Usipokuwa makini unaweza leta shot (kama ni mzembe kupitiliza).
c. Inatakatisha nguo ila haifikii automatic.

2. Automatic washing machine
Kama ilivyo jina lake. Inafanya kazi zote yenyewe. Huwa ina chumba kimoja tu. Zipo za kuweka nguo mbele na zipo za juu. (Front loading and top loading)
IMG_20201229_135031.jpg

LG-6.5-Kg-5-Star-Smart-Inverter-Fully-Automatic-Top-Loading-Washing-Machine-830x1330.jpg

Unaunganisha mpira kwenye bomba. Unaweka nguo na sabuni. Unachagua ifanye yenyewe au uichagulie settings. Kama utaichagulia unaweza chagua kiwango cha maji, muda wa kufua, aina ya nguo n.k.

Ukisharuhusu ifue, itafanya yote yenyewe. Baada ya muda unaenda kutoa nguo zikiwa tayari.

Faida
a. Inafanya yote yenyewe. Unaweka nguo na kuondoka.
b. Inatakatisha zaidi
c. Teknolojia ya kisasa.
d. Inachukua nafasi ndogo ndani.

Hasara.
a. Ni ghali.
b. Maji mengi kwa kuwa inajipimia.
c. Umeme mwingi kwakuwa inafanya yote yenyewe kwa umeme.
d. Inafua kwa muda mrefu sana. inaweza fika hadi saa nzima.
e. Kinachokadiria maji, uzito wa nguo, kiasi cha sabuni n.k ni sensor. Wakati mwingine sensor hufa.
f. Inahitaji maji direct bombani ili ijichukulie. Huwezi chota na ndoo

NB: kwa familia ya kipato cha kati hizi mashine ni bidhaa muhimu na si anasa. Kufua ni kazi ngumu hata kama akina mama hawalalamiki. Kwa shilingi laki 3 au zaidi inaweza okoa nguvu na muda.
 
Kwa ujumla anything yenye heating element inakunywa umeme
Noma sana! Nilikua na Rice cooker & heater hapa getoni ilibidi bro aondoke nayo tu, make bill ya umeme ilianza kuongezeka tu nikaona ninae umia ni mimi mwenyewe mlipaji [emoji23] pamoja na kua inanirahisishia kupika wali na kuchemsha maji.... Baada ya bro kuyachukua yote akatumie nayeye getoni kwake asaiv bill inakuja sawa.., Na imani nayeye huko atavirudisha tu kwenye mabox yake sio muda [emoji41]
 
Washing machine zipo katika makundi mawili. Automatic (fully) na semi automatic (manual).

1. Semi automatic washing machine ni mashine ya kufulia inayofanya kazi kwa wewe kuisaidia. Yani kila hatua katika ufuaji inahitaji ushiriki wako.
Mara nyingi zina vyumba viwili. Cha kufulia na kukaushia.

Huwa zina kuja na mpira wa maji (water inlet pipe) na tundu la kuchomeka.
View attachment 1662225
Ushiriki wako ni kama ifuatavyo.
-Unaanza kwa kuweka maji. Unaweza kuweka kwa ndoo au ukachomeka mpira wake direct bombani. Hapa kiasi cha maji unakadiria mwenyewe.
- Then unaweka sabuni. Yaweza kuwa ya unga au ya maji. Then washa kidogo kukoroga halafu weka nguo. Bonyeza ifue. Muda unaset mwenyewe (unakadiria kulingana na uchafu na ugumu wa nguo).
-ikimaliza kufua, unabonyeza inamwaga maji then unaweka mengine inasuuza.
-Baada ya kusuuza unaweza amua kuhamishia nguo chumba cha pili cha mashine ikamue (hata hadi kukausha ukipenda).

Faida za Semi-automatic
a. Ni bei nafuu kuliko full-automatic.
b. Unaokoa maji maana unajipimia mwenyewe unavyoona.
c. Inasevu umeme kwa kuwa hatua zote za ufuaji unajipangia mwenyewe.
d. Si lazima kuwa na maji ya bomba direct. Unaweza weka mwenyewe.
e. Hufua kwa muda mfupi.
f. Haina vifaa vingi hivyo si rahisi kuharibika haribika.

Hasara zake
a. Haiwezi fanya kazi yenyewe. Lazima uisadie.
b. Zoezi la kuweka maji, kumwaga maji, kutoa nguo ili kukamua laweza sababisha maji kumwagika mwagika. Usipokuwa makini unaweza leta shot (kama ni mzembe kupitiliza).
c. Inatakatisha nguo ila haifikii automatic.

2. Automatic washing machine
Kama ilivyo jina lake. Inafanya kazi zote yenyewe. Huwa ina chumba kimoja tu. Zipo za kuweka nguo mbele na zipo za juu. (Front loading and top loading)
View attachment 1662226
View attachment 1662227

Unaunganisha mpira kwenye bomba. Unaweka nguo na sabuni. Unachagua ifanye yenyewe au uichagulie settings. Kama utaichagulia unaweza chagua kiwango cha maji, muda wa kufua, aina ya nguo n.k.

Ukisharuhusu ifue, itafanya yote yenyewe. Baada ya muda unaenda kutoa nguo zikiwa tayari.

Faida
a. Inafanya yote yenyewe. Unaweka nguo na kuondoka.
b. Inatakatisha zaidi
c. Teknolojia ya kisasa.
d. Inachukua nafasi ndogo ndani.

Hasara.
a. Ni ghali.
b. Maji mengi kwa kuwa inajipimia.
c. Umeme mwingi kwakuwa inafanya yote yenyewe kwa umeme.
d. Inafua kwa muda mrefu sana. inaweza fika hadi saa nzima.
e. Kinachokadiria maji, uzito wa nguo, kiasi cha sabuni n.k ni sensor. Wakati mwingine sensor hufa.
f. Inahitaji maji direct bombani ili ijichukulie. Huwezi chota na ndoo

NB: kwa familia ya kipato cha kati hizi mashine ni bidhaa muhimu na si anasa. Kufua ni kazi ngumu hata kama akina mama hawalalamiki. Kwa shilingi laki 3 au zaidi inaweza okoa nguvu na muda.
Mwenyezi Mungu akijaalia hali & uhai nitanunua hiyo Automatic tu.... Kufua ni mtihani kwangu aisee napataga shida sana, Bora unipe jembe nikalime!
 
Earthleakage(umeme kuvujia katika earth) pia husababisha matumiz ya umeme kuongezeka kwasababu umeme unaovujia katika earth huishia katika ardhi bila kufanya kazi yoyote.
Hata kama earth rod na waya vipo vizuri bado umeme utapotea tu,kinachotakiwa kiasi cha umeme kinacho vuja kiwe kidogo sana,kama ni kikubwa kifaa kinacho itwa earthleakage circuit breaker lazima kijizime.
Hakikisha unapima continuity kati ya LIVE na EARTH,pia NEUTRAL na EARTH kwa kipimo cha MEGA uone kama ipo katika standard inayotakiwa.
Kama continuity kati ya waya hizo na earth inasoma kwa kiasi kidogo cha MEGA,hakisha unaondoa kwanza tatizo hilo kabla ya kuchimbia vizuri earthrod yako maana badala ya kuondoa tatzo utakua unachochea
Namafundi wengi sana wanakosea kukimbilia kubadilisha earth rod wakisikia nyumba umeme unapotea sababu hawana vipimo au kutokujua waanzie wapi au ninikifanyike
 
Nikweli
 
Tutumie vifaa latest haya mambo ya madude used sio kabisa unanunua bei ndogo ila kimatumizi ya muda mrefu unakuwa hakuna ulichokimbia.. unakuja lipa bill kubwa kwenye umeme
 
Back
Top Bottom