Kwisense
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 475
- 1,142
Daah! Bahati haiji mara mbili, kupitia kwako angepata vingi sana. Ilitakiwa muheshimiane na kila mmoja aheshimu hisia za mwenzake.
Nakutakia maisha mema ili upate atakae kufaa maishani bibie, usikate tamaa mapema bali kabla ya uhusiano au kutoa k jaribu kudadisi na kufanya upelelezi juu ya uliyempata kuelewa mazingira aliyokulia, familia yake ikoje, anapenda nini, ana umri gani, mahusiano yake ya mwanzo alikumbana na nini, amekupendea nini, etc