black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Mwanamke akikuzid kipato Ni kuish nae kwa akil Kuna ile sometime kujifanya wako juu kidogo hyo inategemea na uwezo wa aki l wa mwanaume kujua.
Ukiona mwanamke aliekuzid kipato Kuna mambo anafanya kuhusu familia yenu jua Kuna kitu wanahtaji toka kwako.
Huwa hawitaji pesa wanahtaji muda wako,kujali kwako,uwepo wako sehemu atakazo kuhitaji, na mawazo yako katika kuendelea kumuongezea kipato tatizo kubwa huwa katika muda hapo ndio changamoto.kuna wakat uko katika harakati zako yeye anakuhtaji katika mambo yake usipo tokea kanuna