Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Daah! Bahati haiji mara mbili, kupitia kwako angepata vingi sana. Ilitakiwa muheshimiane na kila mmoja aheshimu hisia za mwenzake.

Nakutakia maisha mema ili upate atakae kufaa maishani bibie, usikate tamaa mapema bali kabla ya uhusiano au kutoa k jaribu kudadisi na kufanya upelelezi juu ya uliyempata kuelewa mazingira aliyokulia, familia yake ikoje, anapenda nini, ana umri gani, mahusiano yake ya mwanzo alikumbana na nini, amekupendea nini, etc
 
Nilifanya haya nasikia niliowatuma hawakufanya kazi nzuri
 
tuwe frends with benefits' tu, sitakuomba upike, sitakuomba feza, cheki ppm bibie
hutajutia
 
hasira zikikuisha nicheki tuanze urafiki baadae date
 
umefanya uamuzi mzuri ila nakushauri we date tuu na mtu mwingine maisha ya upweke ni mabaya sana niulize mimi.
 
Safi kabisa hiyo familia ya matapeli waliona fursa na nikuhakikishie kuolewa ulikuwa hauolewi,ilibakia umchukulie mkopo huyo mwanaume,cha muhimu mwanaume asojua majukumu yake hafai!hafai!hafai!
 
Ulijitoa sana, yani unamlea jamaa na familia yake teh....
Pole na hongera
 
Hahaha, Hongera kwa kufanya uamuzi mzuri maana huyo mbeleni angekusumbua mno.
Huyu demu ndio angemsumbua mchizi huko mbele, bora mwamba kajikataa mapema, demu gani anapika kwa maonesho eti aonekane anajituma [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…