Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Shemeji yetu next bila shaka atatoka JF.

Subirini, si tupo?
 
Huyu demu ndio angemsumbua mchizi huko mbele, bora mwamba kajikataa mapema, demu gani anapika kwa maonesho eti aonekane anajituma [emoji3][emoji3]
Wahenga walisema usilolijua litakusumbua, kupika kwa maonesho ndo kukoje? ulikuwepo?
 
Hukupenda nafsi/soul ulipenda muonekano wako/kazi/fani/family kinyume chake yeye pia hakupenda nafsi alipenda attachments. Conclussion yako ya kipepo jiandae kupata taabu, ukiacha gugu subiria au omba mmea wenye matunda ya thamani machoni pa bwan
 
Ungekaa na mpenzi wako mzungumze kwanza. kuzidiana kipato hivyo ni vitu vya muda tu ,kwenye mahusiano kuna mengi zaidi ya hayo .Wezakuta huyo ndio baba bora kwa wanao .Unaweza kupata mwenye kipato zaid kumbe play boy unapotafuta hitaji la moyo ubinafsi weka pembeni.
 
Hujajua full story
 
Nimepitia yote ila kama una mpenda kaa
naye chini umueleze unapenda nini na upendi nini. kama unampenda lakini na anakupa amani .
I wish ungejua everything usingeshauri haya
 
Wanaume wengine bana unatamani kumtandika mijeredi

Yaani unapewa tikiso unagoma hivi unaanzaje anzaje kugomea tikiso

Yaani Mie hata kama nimechukia nakutikisa kwelikweli baada ya tikiso ndo ugomvi unaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili zenu wanawake ni sawa na akili ya mwanaume mmoja mlevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…