black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Daah! Nimesikitika sana, Wanaume wenye vipato vya chini tunatengwa vibaya sana kumbe..Pole na hongera, ila kuna wanaume wamezidiwa vipato na wanawake lakini they still play big, Muombe Mungu akupe mwanaume mwenye mapenzi ta dhati bila kujali hali ya kipato au material things, unaweza kumpata aliyekuzidi kipato nae akawa worse zaidi
Naam! Naam, Naam, kunywa kwa bili yangu hapo Kaunta nakuja kulipakweli kosa hela ujue kama mtu anakupenda kweli au yupo kimaslahi.
Pole pia ndugu yangu. Tutafarijiana tuMatatizo uliyonayo yanashabihiana kabisa na yangu.Nilichofanywa na mdada mwenzako like sitaki kuwa na mwanamke tena.Nakuelewa unaposema "SITAKI MAHUSIANO KWA SASA" maana am at the same situation. Ila Mungu yupo atajibu.I wish tungekuwa majirani tuwe tunakaa pamoja tuna share mawazo na kuangalia what a way forward .
Pole sana
Am officially single na sina muda wa kudate tena. maana nkidate ss sitakuwa na imani na mtu, sitapika narudia SITAPIKA maana inauma kujituma halaf unaambiwa ulkua unakunja nne unapikiwa!
Mimi kupenda tena mwanaume niliyemzidi kipato nipigwe narudia nipigwe NAWASILISHA!
Sina hamu na mapenzi,nikiwaza nacheka peke yangu. Si mtumiaji wa kilevi ilibidi nianze kula chupa kadhaa ili kuwa ktk situation ingineee ambayo si ya utimamu ili nisahau.
Asante, na nampenda kweli mwanangu achaBado una hasira, ukishapoa na ukapenda tena utapika vizuri tu, tena chakula kitamu zaidi.
Mshkaji umemuacha wakati bado unampenda tena sana. Baada ya mda utampata atakaekusahaulisha machungu, utakuwa sawa. Haya mambo hayana rules.
Pole.