Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.

Nafkili labda hujamuelewa alichomaanisha nikwamba uselfish sio mzuri lakini pia kila mtu awehuru kutafuta amani na maisha yake wewe uko mwanza mwanamke wako yupo dar ivi wewe kwaakili yako tu yakawaida huyo mwanamke et atakaa akusubilie wewe huko na aujilikani utarud lini ukweli nikwamba wanaume sisi tuacheat wala askate mtu hapa, sasa ujue kama wewe inafika muda unahtaji kuafanya mapenz sababu ya hisia zako bas hata uyo mwanamke uliomuacha dar nayeye kuna muda anahtaji kufanya hicho kitu the same naatafanya tu na hautojua kama wewe unavyo fanya huko ulipo bila yeye kujua sasa kama hutaki drama nakushauri achana na mapenz ya long distance relationship sababu ni upuuzi na drama mnaleteana kwani mkiacha kila mtu akatafuta wakaribu yake kunashida gani ili kuondoa ma migogoro kama ya mtoa mada hapo ana lalamika kagongewa na nikweli kagongewa sasa yote yanini
 
Wenye mavifua yao ya kutuna hawasimlii simlii kila kitu bana sema ulikasirika tu km mwanaume wa dar basi
 
Well done and pole sana. There is someone for everyone. Wa kwako yupo tu pahala and the universe will eventually bring you two together sikumoja.
 
Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Dislike this comment here!
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]

Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Kaka alisema kila wiki anaenda dar,sasa huyo dada ana nyege gani?siwezi kushindana na mwanaume mimi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maaana sijaona taarifa ya mauaji ya wapenzi kwenye magazeti. Ongera sana.
Demu haujamkuta na bikra anakuumiza kichwa kwa lipi?
Achana nae.walipita,umepita wataendelea kupita.hicho ni chombo cha starehe.
Sasa usimuache.endelea kula mzigo.
Ila ndoa asahau
 
Ploe mkuu
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]

Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Umempa sifa ya bure tu long distance haina shida kabisa it really depends on the personality and needs and wants. I had been in a long distance relationship years ago. We ended up getting [emoji23] and stayed together for 4 years before our relationship finally came to an end lakini umbali haukua sababu

Everyone has different coping mechanisms and emotional resilience, so one person may find a long distance relationship more difficult than another person. Mm naipenda sababu binadamu kiasili huwa tunapenda uhuru kidogo, kubanana sana sio
 
Nicely done brother [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]..Now, u got to move on.
 
Wapo wanawake waaminifu 100% lakini ni kwa uchache sana,Cha kushangaza wanapata wanaume wasioeleweka
 
Analia kwasababu umemkamata na sio amekusaliti. Usingemkamata angeendelea hivyo.

Usaliti ni ishara kuwa hayupo tayari kuwa na wewe tu. Au anaiga na kufikiri kuwa na wengi ni mahusiano. Basi muache akaendelee huko. Wewe hustahili kufanywa bwege. Yaani uhudumie halafu raha wafaidi na wengine?

Pole mkuu. Umefanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…