Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
Mkuu hiyo principle yako itakusaidia sana kuishi kwa amani
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka..
Dislike this comment here!Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Kaka alisema kila wiki anaenda dar,sasa huyo dada ana nyege gani?siwezi kushindana na mwanaume mimiA real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]
Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Watu mna gubu humu, sijui mnae niniNilikuwa namlaga tangu kipindi kile mkiwaga wote dar.....ungemuacha kipindi kile, 😁sema mke wako mtamu
Ploe mkuuHabar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale.
Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa nilisoma maoni ya wadau mbali mbali kwa kweli niseme kile nilichokua nawaza kichwani kumfanyia hakika Kingeweza kuleta madhara makubwa ulemavu wa kudumu au kifo..
Sasa nilichokifanya baada ya kusoma maoni hapa nili cancel safari ya kwenda dar nikaamua kubaki Dodoma ili nijipe muda wa kuwaza na kutafakari vizuri na kuituliza hasira yangu..
Baada ya kukaa na kutafakari kwa kina niliona hakuna sababu ya kumpiga au kufanya fujo yoyote juu yake.
Niliamua ntamuacha aendelee na maisha yake na mm niendelee na maisha yangu..
Na tangu jumatano nipo dar na nilimuita nyumbani na nikamuuliza japo alibisha nilimbana sanaaa mpaka akaeleza ukweli wote..
Ukweli ni kwamba alinisaliti, nilimueleza siwez kuendelea nae tena lkn muda wote niliokua naongea nae nilibadilika sura ilabadilika kifua kikatuna kwa hasira ila kwa vile tiari nilikua nishosoma maoni mengi ya wadau hapa sikumpiga hata kibao ..
Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka..
Alikua mgumu kuondoka na ilikua ni mida ya saa tatu usiku , kwa jinsi nilivokua nimechukia hakuwah kuniona katika hali kama hiyo ya kukasirika kiasi kile, nilimuambia nakupa lisaa limoja nikirudi nikikukuta humu ndani kichwa chako kitakua ni halali yangu.. nikaondoka nikaenda sehem nikakaa sikutaka kutumia kilevi chochote nilikunywa maji tuu saa sita usiku nilirudi sikumkuta..
Japo tangu juzi nimekua nikitafutwa na ndugu zake na marafiki zake sijapokea simu zao sababu sina mpango wa kumsamehe.
Naamini Mungu atanipa wangu sahihi kwa wakati Muafaka..
Wanawake nawasihi usaliti sio kitu kizur wanaume huwa hatuna roho ya kumsamehe msaliti. Ukiamua kusaliti Linda heshima ya mtu wako fanyia mbali uovo wako ila za mwizi ni arobaini..
Asanteni sana kwa ushauri wenu hakika pengine sa hii ningekua jela..
Ila omba yasikukute kusalitiwa na mchumba inauma sana...
Umempa sifa ya bure tu long distance haina shida kabisa it really depends on the personality and needs and wants. I had been in a long distance relationship years ago. We ended up getting [emoji23] and stayed together for 4 years before our relationship finally came to an end lakini umbali haukua sababuA real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]
Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Wapo wanawake waaminifu 100% lakini ni kwa uchache sana,Cha kushangaza wanapata wanaume wasioelewekaMkuu hongera sana kwa maamuzi uliyofanya, Ila changamoto bado ipo pale pale, Sidhani kwa dunia ya leo kuna wanawake waaminifu kabisa 100%, coz sahv utatafuta mwanamke mwingine ambaye ni X wa mwanaume mwingine na hujui sababu iliyowafanya wakashindwana na mtu wake, so cycle ni ile ile
Me nnapoelekea naona akili yangu ishaanza kukubaliana na huu ukweli, so napambana mwanamke ntayefanya naye maisha at least anizalie watoto wa damu yangu.
Haya mengine nishakubali sitaweza kuyazuia.Naifanyia training akili yangu kwa maslahi ya afya yangu. Sitaki niruhusu kuumizwa na mapenzi
😁😁😁Sisi ndo wale wasumbufu kwenye jamiiWatu mna gubu humu, sijui mnae nini