Nani aliyekufundisha, ulizaliwa peke yako duniani utakufa peke yako. Huyo mchumba au mme wako amekufundisha lini wakati mlikutana above 25yrs. Yaani niseme wanawake wamenifundisha kutokana na tabia zao za visilani na dharau zisizo na msingi halafu nije nimfanyie hilo jambo mpenziwe. Hapo ndio nitaitwa mjinga wa dunia maana binti hakunijua nilipokuwa below 25yrs. Tabia mbovu ni yako sista, utahukumiwa wewe na umepewa akili ya kujua jema na baya. Kama hujui basi wewe utakuwa mwanamke mpumbavu utakayeharibu nyumba yako kwa mikono yako. Acheni kuiga Western countries, this is Africa tena bongo.