Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
wanaume huwa hatufukuzi wazazi wenzetu (wake), ni kwamba sisi ndiyo tunaoondoka na kuanza makazi mapya.
 
Nani aliyekufundisha, ulizaliwa peke yako duniani utakufa peke yako. Huyo mchumba au mme wako amekufundisha lini wakati mlikutana above 25yrs. Yaani niseme wanawake wamenifundisha kutokana na tabia zao za visilani na dharau zisizo na msingi halafu nije nimfanyie hilo jambo mpenziwe. Hapo ndio nitaitwa mjinga wa dunia maana binti hakunijua nilipokuwa below 25yrs. Tabia mbovu ni yako sista, utahukumiwa wewe na umepewa akili ya kujua jema na baya. Kama hujui basi wewe utakuwa mwanamke mpumbavu utakayeharibu nyumba yako kwa mikono yako. Acheni kuiga Western countries, this is Africa tena bongo.
Umeandika kwa uchungu sana pole
Haya mambo hayana formula mkuu

Jumapili njema
 
Yaan Dom to Dar naunakaa ukisema unamwanamke wako yupo Dar na unamfatilia aloo watu mnamoyo yaan mimi siku nilioambiwa unatakiwa ulipoti Dodoma na kuondoka Dar usiku wake nilimuita kiumbe yule na kumwambia nafkili safari yetu ya mahusiano iishie hapa na sioni sababu ya kuendelea na wala siitaji ma drama kuwa huru na maisha yako end of business en no more.
Hahaha
 
wanaume huwa hatufukuzi wazazi wenzetu (wake), ni kwamba sisi ndiyo tunaoondoka na kuanza makazi mapya.
Hakuna kitu kinauma zaidi kama mke wako kugongwa na mwanaume mwingine katika nyumba yako mwenyewe. Unamuachiaje nyumba yako uliyoijenga kwa jasho ili aendelee kuinajisi?
 
Back
Top Bottom