Mrejesho: Kanifukuza ndani

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa)

Jana pia kanicheki mchana kuhusu hiyo pesa nikamwambia nitakuchek baadae akasema fresh. Nikaona nijaribu kumla kimasihara kama wengi walivyonishauri

Usiku kwenye mida ya saa 3 nikampigia cm nikamuuliza naweza kuingia huko kwako dem akafurahi sana akasema njoo wala sijamlaza mtu ndani (sijui alijua nampelekea hela😃😃😃😃)

Bac mwanaume nikajipindua nikaingia gheto kwa huyu single Mother nikalikuta limelala aisee nizigo haswa nikajisemea moyoni leo huyu lazima nimgonge kimasihara😃😃 basi dem akanikaribisha fresh nimekaa akaniuliza vp kuhusu ile pesa nikaanza kumpanga kwamba bado sijafanikiwa na blaah! Blaah! Za kutosha dem akasema poa.

Ila nikaona kama kaacha kunizingatia akaendelea kuangalia tamthilia zao bac mi nimekaa mule ndani mpaka saa tano nkamwambia nafika gheto kwangu kidogo ila narudi maana tupo vyumba jirani manzi akasema poa nkaona yes huyu wa kwangu leo na hiki kibaridi huyu leo lazima nimle.

Nimefika gheto nikachukua kama 20k kwa ajili ya dharura baada kama ya dakika 20 hv nikaona sasa ni muda sahihi wa kurudi kwa yule single mother aisee nimefika pale mlangoni kutikisa mlango naona umefungwa ikabidi nigonge dem akauliza nani nikasema ni mimi fulani dem akafungua mlango ile kufungua tu mi nikawa nishatanguliza mguu mmoja ndani duuh ghafla nashangaa dem ananisukuma namuuliza vp ananiambia hapana rudi kwako ukalale nikamwambia kwani shida nini akasema hapana we rudi kwako ile bado nimehamaki akaniambia kwa sauti ya juu "fanya haraka ujue unaniingizia mbu ndani" aisee ilinibidi nitoke kwa aibu maana kwa sauti ile nadhani hata baadhi ya majirani walisikia.

Mpaka sasa bado najiuliza hivi ni yule mwanamke aliekuwa ananishobokea namna ile ndio leo kanifanyia haya aisee kweli wanawake ni nyoka.

Pia soma mrejesho:Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki
 
Unalamika kwani umemtolea mahari?

Storyaina hii zinasababisha wapiga nyeto kuongezeka
 
Kwenye kikao cha mabaharia hukuhudhuria???? Si tulikubaliana mwanamke ambaye huna future naye siku zote usimwambie ukweli, Yaani ushapata nafasi ya kuingia ndani kwake halafu bado unasema huna hela🙄🙄, Ulitakiwa umwambie ndiyo ninayo na mbususu ungepewa siku hiyo hiyo
 
Kaka nilitaka nimle kimasihara ila nimeona dem ni mjanja zaidi ya ninavyofikiri
Afadhali umeng’amua kwamba demu kakuzidi ujanja. Infact kwa uzoefu wangu naona kabisa hata ungempa hiyo laki bado wewe uwezekano wa kupewa mbususu ni mdogo sana. Huyo anataka kukudangia tu bora ukate mawasiliano kabla hujapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Sio wanawake wote unaweza kuwatafuna kwa style hiyo mkuu huyu single mother ni mjanja balaa hakupi hata nafasi ya kumsogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…