Mrejesho: Kanifukuza ndani

Mrejesho: Kanifukuza ndani

Kutokua na laki1 siyo kosa, ila wakati anarudi mara ya pili akajiandalia elfu20 ya dharura, angempa na ndani angeruhsiwa kuingia...
Alikosea wala asingeenda tokea mwanzo angemuita tu ndani kwake wala wasingechomoa[emoji16]
 
Kwanza haujiamini,

Ungekuwa unajiamini usingeenda room kwa huyo mmama na kuanza kujieleza kuhusu kukosa hiyo laki,

Ungemuita geto kwako na angekuja kwa kujua umemuitia pesa,,,ungemuimbisha chombezo ungemla na kumgea hiyo ishirini.
Naona unamfundisha mbinu akachukue point 3
 
Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa)

Jana pia kanicheki mchana kuhusu hiyo pesa nikamwambia nitakuchek baadae akasema fresh. Nikaona nijaribu kumla kimasihara kama wengi walivyonishauri

Usiku kwenye mida ya saa 3 nikampigia cm nikamuuliza naweza kuingia huko kwako dem akafurahi sana akasema njoo wala sijamlaza mtu ndani (sijui alijua nampelekea hela😃😃😃😃)

Bac mwanaume nikajipindua nikaingia gheto kwa huyu single Mother nikalikuta limelala aisee nizigo haswa nikajisemea moyoni leo huyu lazima nimgonge kimasihara😃😃 basi dem akanikaribisha fresh nimekaa akaniuliza vp kuhusu ile pesa nikaanza kumpanga kwamba bado sijafanikiwa na blaah! Blaah! Za kutosha dem akasema poa.

Ila nikaona kama kaacha kunizingatia akaendelea kuangalia tamthilia zao bac mi nimekaa mule ndani mpaka saa tano nkamwambia nafika gheto kwangu kidogo ila narudi maana tupo vyumba jirani manzi akasema poa nkaona yes huyu wa kwangu leo na hiki kibaridi huyu leo lazima nimle.

Nimefika gheto nikachukua kama 20k kwa ajili ya dharura baada kama ya dakika 20 hv nikaona sasa ni muda sahihi wa kurudi kwa yule single mother aisee nimefika pale mlangoni kutikisa mlango naona umefungwa ikabidi nigonge dem akauliza nani nikasema ni mimi fulani dem akafungua mlango ile kufungua tu mi nikawa nishatanguliza mguu mmoja ndani duuh ghafla nashangaa dem ananisukuma namuuliza vp ananiambia hapana rudi kwako ukalale nikamwambia kwani shida nini akasema hapana we rudi kwako ile bado nimehamaki akaniambia kwa sauti ya juu "fanya haraka ujue unaniingizia mbu ndani" aisee ilinibidi nitoke kwa aibu maana kwa sauti ile nadhani hata baadhi ya majirani walisikia.

Mpaka sasa bado najiuliza hivi ni yule mwanamke aliekuwa ananishobokea namna ile ndio leo kanifanyia haya aisee kweli wanawake ni nyoka.

Pia soma mrejesho:Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki
 
Back
Top Bottom