Mrejesho: Kanifukuza ndani

Kama ningekuwa baba yako nisingekurithisha hata mifugo.Mifugo wangekuzidi akili na kuanza kukuongoza.Shame!
Wewe unaongea tu lakini dem akiamua umgongi umgongi labda umbake, acheni mambo ya motivation speaker kudhani kwamba kila kitu ni rahisi rahisi ivo
 
Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa)
Huyo ni danga anachotaka kwako ni hela yako,na wewe ulishamuambia hiyo hela huna sasa ulitegemea nini toka kwake.
 
Wewe unaongea tu lakini dem akiamua umgongi umgongi labda umbake, acheni mambo ya motivation speaker kudhani kwamba kila kitu ni rahisi rahisi ivo
Ulipewa nafasi ya kwanza akakuruhusu uingie ndani mwake.Hapo ulimuweka mabanoni.Ungetumia ushawishi na akili ummung'unye. Nini kilikusababisha utoke chumbani mwake halafu utake kurudi?Hopeless kabisa!Unataka ufundishwe kufunga penati? Kijana wa hovyo!
 
Ulipewa nafasi ya kwanza akakuruhusu uingie ndani mwake.Hapo ulimuweka mabanoni.Ungetumia ushawishi na akili ummung'unye.Nini kilikusababisha utoke chumbani mwake halafu utake kurudi?Hopeless kabisa!Unataka ufundishwe kufunga penati? Kijana wa hovyo!
Kuniruhusu kuingia mwanzo ni pale alipodhani nimemletea hela kumbuka hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…