makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sawa mkuu😂😂😂😂mkono mtupu haulambwi😅😅😅yaani mwenzako anawaza rejesho we unataka kumla kimasihara
Kumbe unajua mkuu principle za madem wengine huwa awaguswi bila kuwashawishi na pesa hata ufanyejeKwa huyu dada sidhan....angempa hela kabisa labda vingnevyo sidhani kama angefanikiwa kugusa hata kiuno tu.
Mkuu huyo dem anajikomba mno kwangu tena mpaka huwa anasema mi najiskia lakini alichokifanya leo hata siaminiNishaona hauna vishawishi kwa demu wala nini,,,yaani hajakukubali,
Na unajua kabisa ajakuelewa,kinachokipeleka kitu gani.
Daah..yani mkuu sitaki kukumbuka hilo tukioOndoka haraka unaniingizia mbu ndani! 😬😬🤣🤣🤣
Umefurahi au ndio wwSafi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah acha tu kaka😃😃Dah! Hiyo huwa inakata stimu sio poa! Kuna mwanamaza nilizoea kumshika trackle na kulibinya, yeye akawa anacheka tu! Siku moja asubuhi nikalidaka nikaliminya, niliskia "We mpumbavu, tabia ya kunibinya matako iishe leo, sijawa mkeo mimi, kuwa na adabu" Halafu kwa sauti kubwa aisee!
Nilibaki nakenua tu, hadi aibu, Dah! Kama ulimwengu mzima uliona vile, miguu ikawa kama inaingia tumboni vile [emoji23][emoji23][emoji23] Simon Collect
I'm so proud of you wardaKwanza haujiamini,
Ungekuwa unajiamini usingeenda room kwa huyo mmama na kuanza kujieleza kuhusu kukosa hiyo laki,
Ungemuita geto kwako na angekuja kwa kujua umemuitia pesa,,,ungemuimbisha chombezo ungemla na kumgea hiyo ishirini.
Mimi silalamiki kaka ila kanidhalilisha kimtindo
Muone[emoji23]I'm so proud of you wardaView attachment 2290267
Kwahiyo mzee baba ungekuwa wewe ungeitoa hiyo 100k kisa tu mbususu ya siku mojaSasa hela huna, unataka bidhaa ya nini...kula kwa macho au tafuta hiyo 100k ule mzigo huo
Hata siku moja usimpe mwanamke muda wa kutafakari!Ungemlainisha.Piga sound za kufufua wafu!Ulipotoka tu,ulimpa nafasi ya kutafakari na kukuona kama mcheza comedy tu.That was supposed to be a man to man arena!Usirudie makosa.
NB:Toa hela ya tuisheni niliyokupatia.
Huu utundu umejifunzia wapi warda yaani umemzidi akili mtoa madaMuone[emoji23]
Eeh kama ninayo..nikifikia hiyo levelKwahiyo mzee baba ungekuwa wewe ungeitoa hiyo 100k kisa tu mbususu ya siku moja
Mjini haPa kama ulishasikia haPendwi mtu linaPendwa Pochi ndio kama hivyo.Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa)
Jana pia kanicheki mchana kuhusu hiyo pesa nikamwambia nitakuchek baadae akasema fresh. Nikaona nijaribu kumla kimasihara kama wengi walivyonishauri
Usiku kwenye mida ya saa 3 nikampigia cm nikamuuliza naweza kuingia huko kwako dem akafurahi sana akasema njoo wala sijamlaza mtu ndani (sijui alijua nampelekea hela😃😃😃😃)
Bac mwanaume nikajipindua nikaingia gheto kwa huyu single Mother nikalikuta limelala aisee nizigo haswa nikajisemea moyoni leo huyu lazima nimgonge kimasihara😃😃 basi dem akanikaribisha fresh nimekaa akaniuliza vp kuhusu ile pesa nikaanza kumpanga kwamba bado sijafanikiwa na blaah! Blaah! Za kutosha dem akasema poa.
Ila nikaona kama kaacha kunizingatia akaendelea kuangalia tamthilia zao bac mi nimekaa mule ndani mpaka saa tano nkamwambia nafika gheto kwangu kidogo ila narudi maana tupo vyumba jirani manzi akasema poa nkaona yes huyu wa kwangu leo na hiki kibaridi huyu leo lazima nimle.
Nimefika gheto nikachukua kama 20k kwa ajili ya dharura baada kama ya dakika 20 hv nikaona sasa ni muda sahihi wa kurudi kwa yule single mother aisee nimefika pale mlangoni kutikisa mlango naona umefungwa ikabidi nigonge dem akauliza nani nikasema ni mimi fulani dem akafungua mlango ile kufungua tu mi nikawa nishatanguliza mguu mmoja ndani duuh ghafla nashangaa dem ananisukuma namuuliza vp ananiambia hapana rudi kwako ukalale nikamwambia kwani shida nini akasema hapana we rudi kwako ile bado nimehamaki akaniambia kwa sauti ya juu "fanya haraka ujue unaniingizia mbu ndani" aisee ilinibidi nitoke kwa aibu maana kwa sauti ile nadhani hata baadhi ya majirani walisikia.
Mpaka sasa bado najiuliza hivi ni yule mwanamke aliekuwa ananishobokea namna ile ndio leo kanifanyia haya aisee kweli wanawake ni nyoka.
Pia soma mrejesho:Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki