Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

Unatafuta KIKI

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Funguka mkuu apa ndo jukwaa pendwa la kusema ili na wengine wajifunze
 
Si useme tu umeliwa goti
 
Figo umerudi nazo lakini au umeziacha huko,asiesikia la mkuu.....
 
Baada ya kushtuka usingizini, ukakuta uko home! Saa 8 mchana! Dogo anakuita 'kaka chakula tayari' 😁😁

Yaani hakuna cha binti Sarah! Qatar Airways, Malta guiness, wala Grand Malt! 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…