Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mkuu labda alishawahi kumla kabla ya hiyo siku uliowafumania.
 
Ninyi nyote wawili ni wazinzi tu hakuna wa kumhukumu mwenzake. Wewe Mume una mchepuko. Mkeo naye analiwa nje ya ndoa.
Cha kufanya kaeni chini mkubaliane kuanza maisha upya bila michepuko, sameheaneni, sahauni yaliyopita anzeni kupendana upya.
Mkishindwa kufanya hivyo basi vunjeni ndoa na kila mmoja aende kwa mchepuko wake, siku ya kiama ikifika kila mmoja wenu atajibu mbele za MUNGU.
 
I feel you blood
Fukuza huyo malaya kmmk
 
Mpaka hapo umeonyesha udhaifu mkubwa.

Huyo ni malaya, achana naye atakuja kukuua huyo.
 
Kaenda kazini?

Huyo konki ..
Swali lako linenikumbusha tukio moja tukiwa O level. Classmate wangu Me and Ke walifumaniwa gheto wakifanya yao (jpili hiyo). Jumatatu taarifa ilifika shule na kuitwa assemble wakapigwa viboko then kurudishwa home kwa mwezi mmoja. Baada ya kupewa suspended muda huohuo wakaelekea porini wakafanya yao mpaka jioni ndo kila mtu akarudi kwao.
Yawezekana mke wa jamaa kaaga anaenda job kumbe kaenda tena kwa mahitaji kukazwa.
 
Hahahahahaha acha upigwe matukio ndio tuone km utajikojolesha
Huyu anajua akinipiga matokeo ataumia yeye na si mimi. As long as sijamkosea chochote ataumia yeye. Mimi kimya sinaga maneno mengi.
Maamuzi yangu ni mabaya na hawezi kuyastahimili.
 
Ni wale wanawake rejected wenye sura ngumu,unakuta hata kama kaolewa ameolewa na mtu ambaye hana uwezo kiuchumi hii ni kutokana na uzoefu wangu.
 
Huyu anajua akinipiga matokeo ataumia yeye na si mimi. As long as sijamkosea chochote ataumia yeye. Mimi kimya sinaga maneno mengi.
Maamuzi yangu ni mabaya na hawezi kuyastahimili.

Jeuri kama hizi huwa mnazitoa wapi au Ww ndio unamlisha jamaa..Pesa ndio zinawapa jeuri wanawake mkizipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…