Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Nimemuelewa mkuu, nimemjibu kutokana na maneno aliyochagua.
 
Pole sana jamaa,kosa tu ni mwanamke kuchepuka kizembe angalau alitakiwa awe makini sama,ushauri wangu Mpe tu nafasi mwanamke kidogo ila kama ataomba sana msamaha mrudie tu jamaa yangu..hakuna mwanamke ambaye hachepuki siku hz.fikiria sana hao watoto..kama mlikaa wote tangia 2016 basi naamini anajitahidi kiheshimu ndoa..mpe nafasi.fikiria watoto,
 
Kwani angechepuka alafu usijue je,ungemuacha ,

Kwani wewe huchepuki ?? Kana!

Sikia acha kujichosha rekebisha tatizo endelea na Safari wewe ,kwani ukimuacha yy ndo utao malaika wanawake Wanachangamoto kweli kweli yahitaji uvumilivu ,,lasivyo utaoa nakuacha kila siku hapo ,


Msamehe endelea na maisha kuliwa mbona wake za watu wanaliwa Sana tu na ndoa zinaendelea Kama kawa piga moyo konde mzee ndoa sio lelema ,[emoji3577][emoji3577]
 
Kuna jambo la kuvumilia ila sio kujua mkeo kaliwaaaa
 
Kuna jambo la kuvumilia ila sio kujua mkeo kaliwaaaa

Shida inaanza hapa kwanini mfatiliane? We Kama hujamkamata basi hiyo ni heshima tosha kuna mtu aliniambia kama unampenda mkeo Au mpenzio kamwe usimfatilie na ni kweli, ukishajua tu huko kaliwa na ma bwana tofauti thamani yake kwako inashuka, everybody cheats tena kwa sasa wanandoa ndio wanachoropoka mno unadhani rahisi kuhudumiwa na njia kuu tuu.
 
Mke Akitoka Nje Ya Ndoa na Afungwe Jiwe Kubwa Shingoni na kutupwa Baharini Kiroho. Na watu wote waseme Amen.

Ishi Lea Watoto kama Vile Hayupo. Muachie Mungu, usitumike Kuvunja ndoa.

Fanya kama Mimi. Ishi Kwa Furaha.
Hakupata Furaha kwako.

" Kama unampenda, utafurahi ukimuona na furaha hata kama haijatoka Kwako. " - Mwanafalsafa Kirchhoff
 
Hahaha
 
 
Kwahio bado unaishi na huyo m💩laya au ulishamuacha... Kama bado unaishi naye wewe ni mwanaume useless hopeless hufai kabisa kuitwa mwanaume...
 
Sababu namba tatu ni kutafuta ku justify alichokifanya
Huwa ni wagumu kukubali until wako caught red handed.
Vizur sana umekataa kuingia kwenye mtefo wake
 
Ngono tunaioverate sana.Haya sasa mtu analetea shida familia yake kisa kupanua miguu na kuingiza nyama hapo kati, hawazi kuhusu watoto na mtikisiko siku mambo yakiwa nje. Mwanamke kurudi nyumbani saa sita, umeacha watoto wadogo kisa uzinzi - hamna mke hapo. Na kuonesha hana akili - anaacha hadi sms, calls kwenye simu -
 
baada ya fumanizi ulipiga chini au uliendelea na manzi?
na jamaa alireact vip?
 
Wala usiumie mkuu. Wewe ndiye Mwalimu WA uchepukaji WA mkeo.
 
Do pole kk
 
WATU WOTE WANAOKUSHAURI KUENDELEA KUISHI NA MWANAMKE/MWANAUME ULIYEMFUMANIA NI WAPUMBAVU.......

WATU WOTE WANAOKUSHAURI USIMFUATILIE MKEO/MUMEO WALA KUCHUNGUZA SIMU YAKE PIA NI WAPUMBAVU.....

UAMINIFU NDIO NGUZO KUBWA YA NDOA.....MTU ASIYEMUAMINIFU HASTAHILI KUBAKIA KWENYE NDOA........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…