Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

Akipoteza hio pesa anajipa safari za kutosha(per diem inaingia) akitoka hapo anaenda kupiga mikwara huko Tanapa fasta tu mtaji umerudi.
Yes mitaji mikubwa pia ana wasiwasi hata akipoteza mil 100 kwasababu baada ya miezi mi5 kashaipata tena ila sie hatuwezi kuwekeza hata mil 5 kwenye kilimo maana ukipoteza kuipata tena ni issue.
 
Akipoteza hio pesa anajipa safari za kutosha(per diem inaingia) akitoka hapo anaenda kupiga mikwara huko Tanapa fasta tu mtaji umerudi.
Kabisa ndio maana wana courage ya kuingiza mtaji hata wa m200 maana anajua hata ikipotea atapata nyingine,hiyo ndio siri ya mafanikio ya hawa watu,mtaji mkubwa ukitiki return inakuwa kubwa nayo.
 
H
Pole.Sehemu nzuri za kulima mpunga hapa Tanzania ni bonde la usangu,kilombole,kyela na rufiji changamoto ni mafuriko ya maji na sio kukosa mvua.Tuitumie Tanzania vizuri tuache kilimo cha kubahatisha vinginevyo tuchimbe visima kwenye mashamba yetu.
 
Kweli mkuu,afu akitoka hapo anatwambia vijana to think out of the box wkt yeye anavuna ma per diem tu.
Kabisa ndio maana wana courage ya kuingiza mtaji hata wa m200 maana anajua hata ikipotea atapata nyingine,hiyo ndio siri ya mafanikio ya hawa watu,mtaji mkubwa ukitiki return inakuwa kubwa nayo.
 
....hongera na shukuru Mungu mana hali ya hewa ya mwaka huu ilikuwa si rafiki sana kwa mkulima..mm nimelima ufuta hk 2 nimepata mbegu kg kama 9 hv.
Mwakani ntajikita kwenye mpunga...
Habari Mkuu,ufuta umelima wapi
 
Hongera mkuu, shida ya kilimo hiki sehemu kubwa hapa nchini ni kutegemea mvua, kwa eneo la ukubwa huo ingekuwa kwenye skimu ya umwagiliaji ukapanda kwa nafasi shauriwa na ukaweka mbolea ya kukuzia ulistahili kupata wastani wa gunia 45-50 kwa ekari moja. Hivyo kwa ekari zako 5 ulizopanda ungevuna wastani wa gunia 225.
 
Kilimo cha umwagiliaji ndio mpago mzima kunarafiki yangu amelima heka 45 na amevuna gunia 1650 ikimaanisha kila eka imetoa gunia 36
Heka moja imemgharimu kiasi gani mpaka kuvuna?
 
Mkuu je mashamba wanakodishaje huko na gharama za kulima zikoje na uwa inastawi baada ya muda gani?
Mashamba yapo tu kuna ifadhi serikali ilitoa kwa ajili ya kilimo so vizur ukampata mwenyeji anakutafutia shamba..
Miezi minne ata tano
 
Mkulima akijipanga na kufikiria nje ya box, unatoboa, Ila tatizo wakulima wengi tumezoea kuuzia shambani na sio kufikisha sokoni Kwa mlaji wa mwisho, middleman wanafaidi matunda ya Mkulima kwakweli.
Ila muda mwingine ni ukosefu wa mitaji, mtu analima kwa kukopa na anatakiwa kulipa mazao atakayovuna tena Kwa bei rahisi Sana.
Hongera, lakini huwa naona wafanyabiashara wa mazao ndo wanatajirika sijawahi kuona mkulima akitajirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…